Tetesi: Video: Kimewaka Iran - wenyewe hawamtaki tena Ayatolah kwa sakata la ndege

Baba lafitna toka Mwaka 1979 Miaka Yagiza Alikua wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndio baba lafitina linaingiliaga kwa kutengeneza vikundi vya waasi then Ayatollah anabak history
Baba wafitna anaendelea kuteseka sa aanaaa[emoji2][emoji2][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba lafitna toka Mwaka 1979 Miaka Yagiza Alikua wapi[emoji23][emoji23][emoji23]Baba wafitna anaendelea kuteseka sa aanaaa[emoji2][emoji2][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji14]

Timing tu mzee baba sasa wameshajaa refer all arab springs utajua nan yuko nyuma au alivyoingilia mlango wa nyuma kumuua gadaf sasa zamu ya ayatollah
 
Uwepo wa maandamano ni dalili ya uwepo wa demokrasia pana.
Hata ufaransa kulikuwa na maandamano ya kumtoa rais wa nchi hiyo
Khamenei, kanyaga twende, wakirusha risasi wewe unapiga missile
Hayo Maandamano ni ya wajinga wachache tu, hayawakilishi 82millions patriotic iranians ambao wapo na serikali Yao bega kwa bega.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Timing tu mzee baba sasa wameshajaa refer all arab springs utajua nan yuko nyuma au alivyoingilia mlango wa nyuma kumuua gadaf sasa zamu ya ayatollah
Arab Spring Akafanye Kwa Waarabu Ambao Wanamuona US Kama Mume Wao Sio Kwa Waajemi
Kwa Waajemi Hili Halitakua Lamwisho Nawala Halitakua La Awali.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtu mwenye nia mbaya akishindwa anatafuta njia nyingine ya kufanikisha.
Kama utatoa Njia Yakijeshi Ambayo Siiombei Hakuna Njia Nyengine Ambayo Nisahihi Inayoweza Kuuangusha Utawala Wa IRAN Utawala Wa IRAN Unachukiwa Magazetini na Kwa Media ZaWamagharibi Kama Utabahatika Kwenda IRAN Kwenyewe Unaweza Ukaelewa Namaanisha nn

Majority Ya WAIRAN Huwaambii Kitu Kwa Serikali Iliopo Madarakani Japo Wanalalamika Kwa Baadhi Ya Mambo Na Uzuri Zaidi Wanajua Kabisa Nakukwambia Kama Sababu Ya Matatizo Yanaowakumba 90% wana amini yanasababishwa na US/Western.....

Siku yapili leo wanataka ayatollah ajichenge
 
Figisu za USA ni kama maji, usipooga utayanywa. Siombei Iran ianguke ila Khamenei ana wakati mgumu sana.

Hawa warabu nao hawajielewi, alipouliwa Suleimani wakajaa mtaani kutukana US, sasa hivi ajali ya ndege wamejaa mtaani kutukana serikali yao. Wachague moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Figisu za USA ni kama maji, usipooga utayanywa. Siombei Iran ianguke ila Khamenei ana wakati mgumu sana.

Hawa warabu nao hawajielewi, alipouliwa Suleimani wakajaa mtaani kutukana US, sasa hivi ajali ya ndege wamejaa mtaani kutukana serikali yao. Wachague moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wairan sio waarabu

Halafu pili sio wanafiq kwa suala la kutungua ndege yakiraia ulitaka waandamane kuunga mkono mauaji yawatu wasio nahatia!?....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom