Tetesi: Video: Kimewaka Iran - wenyewe hawamtaki tena Ayatolah kwa sakata la ndege

Huo mzuka ufanye huku kwa jiwe tuone kama hatuja kookota ukiwa vipande.

Wanachofanyiwa wale wanaonyesha uvumilivu wa hali ya juu kwamba wakija Bongo, mapolisi wa Kibongo watawakimbia.
Polisi TZ nafuu yao ni kwamba Watanzania wengi waoga waoga.
Mkianza maandamano, ije defenda moja ya polisi mnapoteana na kutawanyika, ila kuna mataifa raia wake ni mzuka, wakijitokeza barabarani wanaandamana, yaani jeshi lote la polisi kila mmoja anaamrishwa ahusike kwenye mapambano.
 
Hii hutokea sana duniani. Makosa kama hayo wala siyo mageni katika tasnia ya vita au urushaji wa makombora. Na ndiyo maana tunasema Vita siyo nzuri. Kila leo US huko Afghastan anaua raia kimakosa na dunia inakaa kimya,wanaishia kuomba radhi tu. Ingawa ni jambo baya sana,lakini hiyo uliyoiita ni degree ya precision ni ngumu hata kwa US na NATO wenyewe. Hujawahi kusikia kisa cha ndege ya Korea(KAL) iliyopigwa kombora na ndege vita ya Urusi?
Ni mambo yanayotokea sana,yanasikitisha lakini Iran siyo ya kwanza kutungua ndege za kiraia. Hapo Iran na Trump wote wanapaswa kulaumiwa. Kwani bila ya yale mauaji ya Soleiman,hii kadhia isingetokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiseme wabongo waoga sema sisi wabongo ni waoga.
 
Bongo ni ngumu kutokea.
 
Polisi siku zote wanaenda na mzuka wa wananchi wakienda kinyume wataua raia wengi na mwishiwe ni adhabu kwao.
 
Uwepo wa maandamano ni dalili ya uwepo wa demokrasia pana.
Hata ufaransa kulikuwa na maandamano ya kumtoa rais wa nchi hiyo
Khamenei, kanyaga twende, wakirusha risasi wewe unapiga missile
 
Wewe ni kichwa nini?
 
Ni aibu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdau alisema Iran ikiingia kweny vita,itaua raia wake na majirani...maana watarusha makombora mashambani,baharini,mahospitalin, airport yani kote hadi miskitini na makanisani...

Mana hapo juzi tu wenge wakarusha hadi kutungua ndege ya abiria...[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…