Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Baba wafitna anaendelea kuteseka sa aanaaa[emoji2][emoji2][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji14]Hapo ndio baba lafitina linaingiliaga kwa kutengeneza vikundi vya waasi then Ayatollah anabak history
Mngekua hamuuwi kigaidi mungekua hamfizii mpaka wakitoka nje za nchi zao
US PAPER TIGER.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada unateseka baada ya bwana enu kupigwa makombora hahahahaHuyo ayatolla na makanzu yake anashushwa mazima mazima...
Baba lafitna toka Mwaka 1979 Miaka Yagiza Alikua wapi[emoji23][emoji23][emoji23]Baba wafitna anaendelea kuteseka sa aanaaa[emoji2][emoji2][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
Timing tu mzee baba sasa wameshajaa refer all arab springs utajua nan yuko nyuma au alivyoingilia mlango wa nyuma kumuua gadaf sasa zamu ya ayatollahBaba lafitna toka Mwaka 1979 Miaka Yagiza Alikua wapi[emoji23][emoji23][emoji23]Baba wafitna anaendelea kuteseka sa aanaaa[emoji2][emoji2][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo Maandamano ni ya wajinga wachache tu, hayawakilishi 82millions patriotic iranians ambao wapo na serikali Yao bega kwa bega.Uwepo wa maandamano ni dalili ya uwepo wa demokrasia pana.
Hata ufaransa kulikuwa na maandamano ya kumtoa rais wa nchi hiyo
Khamenei, kanyaga twende, wakirusha risasi wewe unapiga missile
huwa maandamano yanaanzaga hivi hivi huku idadi ya watu ikiongezeka kila siku, sasa inategemea na jinsi polisi watakavyo dili nao waandamanaji..wakitumia nguvu kubwa wamejikorogaaHayo Maandamano ni ya wajinga wachache tu, hayawakilishi 82millions patriotic iranians ambao wapo na serikali Yao bega kwa bega.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekua werevu
Yale yamwaka jana alichemka nn kufanya kama hv [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]Sasa hapo ndiyo muda ambao USA itachomekea mamluki kuongoza hayo maandamano ya kuupiga chini uongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan kna alosema kifo sio kifo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kifo kifo tu haijalishi wapi umefia
najua mnatamani sana na nyie mpige shambulio kama hili ila ndio hivyo shabaha hamuna
It's Scars
Arab Spring Akafanye Kwa Waarabu Ambao Wanamuona US Kama Mume Wao Sio Kwa WaajemiTiming tu mzee baba sasa wameshajaa refer all arab springs utajua nan yuko nyuma au alivyoingilia mlango wa nyuma kumuua gadaf sasa zamu ya ayatollah
mtu mwenye nia mbaya akishindwa anatafuta njia nyingine ya kufanikisha.[emoji23][emoji23][emoji23]Yale yamwaka jana alichemka nn kufanya kama hv [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama utatoa Njia Yakijeshi Ambayo Siiombei Hakuna Njia Nyengine Ambayo Nisahihi Inayoweza Kuuangusha Utawala Wa IRAN Utawala Wa IRAN Unachukiwa Magazetini na Kwa Media ZaWamagharibi Kama Utabahatika Kwenda IRAN Kwenyewe Unaweza Ukaelewa Namaanisha nnmtu mwenye nia mbaya akishindwa anatafuta njia nyingine ya kufanikisha.
Siku yapili leo wanataka ayatollah ajichengeKama utatoa Njia Yakijeshi Ambayo Siiombei Hakuna Njia Nyengine Ambayo Nisahihi Inayoweza Kuuangusha Utawala Wa IRAN Utawala Wa IRAN Unachukiwa Magazetini na Kwa Media ZaWamagharibi Kama Utabahatika Kwenda IRAN Kwenyewe Unaweza Ukaelewa Namaanisha nn
Majority Ya WAIRAN Huwaambii Kitu Kwa Serikali Iliopo Madarakani Japo Wanalalamika Kwa Baadhi Ya Mambo Na Uzuri Zaidi Wanajua Kabisa Nakukwambia Kama Sababu Ya Matatizo Yanaowakumba 90% wana amini yanasababishwa na US/Western.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wairan sio waarabuFigisu za USA ni kama maji, usipooga utayanywa. Siombei Iran ianguke ila Khamenei ana wakati mgumu sana.
Hawa warabu nao hawajielewi, alipouliwa Suleimani wakajaa mtaani kutukana US, sasa hivi ajali ya ndege wamejaa mtaani kutukana serikali yao. Wachague moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wafikishe mwaka wataondoka na maisha yakawaida yaraia yataendelea kama kawaidaSiku yapili leo wanataka ayatollah ajichenge