Tetesi: Video: Kimewaka Iran - wenyewe hawamtaki tena Ayatolah kwa sakata la ndege

Leo hao waandamanaji wamesema adui wao yupo hapa(Iran)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ayatollah amechemka sana Kitendo cha Kulipua Ndege ya abiria ni ujinga mkubwa kwanza Ni lack of Millitary Accuracy and Professionalism...
Wanaweza kuwa wametegeshewa.
 
Hahaha USA Mara ngapi yanatokea maandamano ....!!? Maandamano si-ni haki ya wananchi Jamani ..so what ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kuona kwa silaha hamumuwezi mna anza kuimba twaarab


Kma kweli kuna maandamano hayatakua yakwanza nawala hayatakua yamwisho


Poleni sanaaa....

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwaelewi wakati sentensi ya kwanza umeanza kwa kusema figisu za USA'!?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkome ubishi, mnachanganyikiwa na kuua raia wenu wenyewe, sasa utawaambia nini Wa-Iran.....Namuona ayatolla na mikanzu yake anawaza jinsi gani ya kuwaelewesha kwa kutumia dini.
Iran na viongozi wake itadumu licha ya chuki zenu. Nimeongea na watu walioko Tehran, Qum, Mash'had, Isfahan kote huko shwari ni amani tupu. Hao wanaoitwa waandamanaji ni wahuni wachache tu waliokua wamelipwa kuleta vurugu Tehran na sasa wameingia mitini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wanahangaika tu hakuna watakacho kipata maana kuiangusha serikali iliyopo madarakani hawawez na IRAN Network Inapiga Kazi Kama Kawaida

Bora yale maandamano ya mwishoni mwamwaka jana yalikua makubwa haya yatoka juzi hamna kitu kabisaaa......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko China .... Palikuwa na maandamano ..mbona hawakusema kuwa raising wa China Ataangushwa ..Russia palikuwa na maandamano ..USA yalikuwepo takribani nwaka mzima ... Ufaransa mpaka leo yapo


Hawa pro USA wa hapa jf waache Porojo aisee....maandamano ni Sehemu ya kisheria katika taifa
Maandamano nihaki yao yakikatiba sasa nashangaa wanaopiga piga kelele kilaleo.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandamano ya kutisha yalikuepo enzi za Ahmed Nejad lakini hatimae yalizimika kama mshumaa. Na haya ya juzi usiku kalikua ni kakikundi ka wahuni tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hua nawashangaa sana MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…