Video: Kombora la Israel lilivyoangusha jengo la ofisi za Al Jazeera

Hilo jengo limekuwa targeted kwasababu Israel inasema linatumiwa na Hamas pia.. Hamas wanafanya shughuli zao humo kwa mgongo wa media
Israel inashambulia majengo marefu sio kwasababu ya Hamas kufanyia shuglizao, bali Hamas wanatumia majengo hayo marefu kufyatulia makombora yanayotua kwenye miji mikubwa ya Israel
 
LONG LIVE ISRAEL 🇮🇱. PEACE BE UPON YOU SONS OF JACOB. SHALOM, SHALOM.
 
High tech demolition.. jengo moja tuu ndio lina dondoka.. mengine hata hayatikisiki.
Ki ukweli wale jamaa ni shidaa!!yaani ilikuwa live , sikuamini kama lile jengo lingedondoka pekee yake tu bila kukugusa yale mengine ya pembeni! Ila nasema hivi hawa israel wakisema wawamalize wapestina wote ni kazi ya masaa tu! Inabakia history! Kwani wakitaka kulipua jengo wanawapa taarifa kabisa kuwa mtoke haraka! Ila HAMAS naona kama wanawapa watu mateso tu bila sababu!!
 
Kama wanachagua jengo la kudondosha bila mengine kuathirika je wakiamua kuyaharibu yote si inakuwa vumbi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…