Video: Kombora la Israel lilivyoangusha jengo la ofisi za Al Jazeera

Biden wenzie wa Democrats wameshaanza kumkoromea kwa kupiga kura ya veto ili kutosimamisha vita kule kwenye UN Security Council ikiwa ni nchi pekee kufanya hivyo. Weusi wanamuangalia tu huyu wakiamua kutoshiriki uchaguzi 2024 basi ni awamu moja tu. Trump haikutokea tu unadhani yeye angewakemea Israel au kutaka wasimamishe udhalimu wao?
Trump alivyokuwa rais hatukuyaona haya .Establishment is back war after war
 
Sasa mpaka wanavitega hivyo wao walikuwa wapi?
 
Acha uongo taarifa ya Leo Palestine 174, Israel 10 sasa wanalingana vipi hapo?
 
Wapigweeeee
Watao ona vipi wakawasaidie
 
Ila hapa muisrael amechemka unaachaje kupambana na hamas unapiga tu majengo ya vyombo vya habari

Israel ni mchumba kwenye vita mkuu kama America akitoa mkono kidogo tu hawa majambazi malowezi yataenya. Na historia inaonesha taifa teule na lililobalikiwa ni waparestina ndio wanapigana na malowezi kutoka uturuki na pande za Russia
 

Hakuna kitu kama hicho wao watakuwa wapi na na hao wanaojiita waisrael nakufa kama kumbi kumbi ila sababu vyombo vya magharibi vipo upande wa israel basi hawawezi toa habari muafaka.
 
Israel ni mchumba kwenye vita mkuu kama America akitoa mkono kidogo tu hawa majambazi malowezi yataenya. Na historia inaonesha taifa teule na lililobalikiwa ni waparestina ndio wanapigana na malowezi kutoka uturuki na pande za Russia

Watu wanapukutika huko wewe unaleta porojo za β€œWachumba” hapa. Btw β€œWaparestina” ndiyo watu gani? Hapa tunaongelea Wapalestina.
 
Hakuna kitu kama hicho wao watakuwa wapi na na hao wanaojiita waisrael nakufa kama kumbi kumbi ila sababu vyombo vya magharibi vipo upande wa israel basi hawawezi toa habari muafaka.

Hata Aljazeera iko upande wa Israel?
 
Israel ni mchumba kwenye vita mkuu kama America akitoa mkono kidogo tu hawa majambazi malowezi yataenya. Na historia inaonesha taifa teule na lililobalikiwa ni waparestina ndio wanapigana na malowezi kutoka uturuki na pande za Russia
 
Tafute video zinazoonesha athari huko tel aviv ndo mtajua mzayuni ameshikwa tako na mwarabu safari hii hawataki video zionekane wala idadi ya watu waliokufa huko uzayuuni wanatoa takwimu za uongo ila hamas nimewakubali wameufunga uwanja wa ndege sijui watashushiwa wapi silaha na huko baharini mturuki ashawazunguka mbwa hawa
 
The best comment ever,
Yaani umewavua nguo kabisa
Big up
Dunia iko advanced huo muda wa kwenda hadi kutega vilipuzi kwenye foundation wa tower unatoka wapi...chombo inadunguliwa moja kwa moja linaangua jengo husika hayo mahesabu Hamas wanatoa n'nyaaaaa.....Ngoja waonyweshwe adabu.

Vi nchi vya kiarabu viko zaid ya 32 vinaungana kuiangusha Israel wapi.Na Netanyahu kasema atawapiga wachakae,ukiua muisrael 1 anaua wafilisti/wapalestina 1000.
 
Israel inashambulia majengo marefu sio kwasababu ya Hamas kufanyia shuglizao, bali Hamas wanatumia majengo hayo marefu kufyatulia makombora yanayotua kwenye miji mikubwa ya Israel
Mw Israel ni hatari sana niliangalia technologia wanayotumia ya iron dome ina neutralise karibia makombora yote yanatumwa Nan hamas mpaka wanachanganyikiwa
 
Hakuna nchi iliyowahi kuwaunga mkono wapalestina kwny vita wakapigana dhidi ya wa Israeli mkono kwa mkono hebu nitajie ww nchi gani
 
Hapo mturuki Tu akiwaunga mkono wapalestina ujue lile taifa linazikwa na tutasahau kama kulikuwapo na taifa likiitwa Israel km ambavyo kabla 1948 lilivokua halipo mgeni unamkaribisha kwako apate kujistiri leo hii anakupiga na kutaka kukutimua ama kweli wale waabudu mashetani
 
Hawa jamaa ni shida
Yaani in 1 hr wametoa warning kwa aljazeera ondokeni hapo wakaongeza dk 10 tu. Wakashusha vyombo,bahati walikua washaondoka.
Km unakumbuka Lebanon hezbollah pale bandarini mpk leo style imetumika ile ile, hakuna kupinda pinda.
Kilidondoshwa kitu kuangusha jengo wao hezbolar wana nyuklia humo ndani zikalipuka zote.
Raia jirani 150 ndo wakafa
Muisrael kawapa salamu ya pole basi,
Wakasema watalipiza,mpaka leo kimya,
Wapalestina waache ugomvi hawawawezi hao watu wao vita kwao ni kama kucheza game tu.
 
Mturuki ampige Muisrael?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Inachekesha sana,hao wakiamua watapiga kuanzia Uturuki na jirani zake wote popote wanapokimbilia ,
Mbona Hawaongei sa hii ?wameacha mzigo wote kwa hammas.
Wanajua wakileta fyoko jamaa anawafwata kesho na hapo no discussion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…