Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Aaa wapi. Mmarekani yuko pale. Labda Putin atie mguu pale ili kuleta balansi. Na hicho hasa ndicho kinachotegemewa kuwa kitatokea siku moja na watu wanaoamini mambo ya unabii. Putin akitia mguu pale vita vya Armageddon ndiyo vitapigwa na havitakuwa na mwamuzi isipokuwa masihi mwenyewe atakaporudi.Hapo mturuki Tu akiwaunga mkono wapalestina ujue lile taifa linazikwa na tutasahau kama kulikuwapo na taifa likiitwa Israel km ambavyo kabla 1948 lilivokua halipo mgeni unamkaribisha kwako apate kujistiri leo hii anakupiga na kutaka kukutimua ama kweli wale waabudu mashetani
Watu wa unabii wanaamini kuwa kichaa mmoja asiyejali atautwanga bomu msikiti wa Al Aqsa ili kuweza kulijenga upya hekalu la Mfalme Sulemani. Kitendo hiki kitaziunganisha nchi zote za Kiarabu pamoja na Urusi upande mmoja na upande mwingine atakuwepo Mmarekani, Waisraeli na nchi chache za Ulaya. Utakuwa mnyukano hasa wa silaha za kila aina (zikiwemo Nyuklia) na maafa yake yatatisha. Maafa haya yametabiriwa katika kitabu cha Ufunuo.