Video: Kumbe kabla Rais Samia kwenda kwenye UNGA - New York , waziri Liberata Mulamula alitangulia mwezi mmoja kabla. Why..?

Lissu Qoute of day-photo op ya Biden na Mama watanzania wangekoma!
 
Jiangalie kwenye kioo uone unefananaje ndio uje upige kelele hapa.
Ulivyo na akili za kinyani nyani hata hukumbuki kuwa simu unayotumia humu na na uwepo wa account yako humu ni kazi iliofanywa na mzungu. Pumbavu kabisa..
 
Wewe kama unaamini Tundu Lissu is always right, hilo ni la kwako; with all due respect, hata yeye kuna wakati anakuwa mpumbavu tu. Kwenye hili kawa mpumbavu.

Yes, I agree hakuna ajuaye yote si wewe, mimi ama Tundu Lissu...

Lakini kwa hili, nasema kwa capital letter, NO!. Wengine ni wapumbavu kuliko wwngine possibly ukiwemo wewe...!

Nature ya viongozi serikali hii tuliyonayo ni justification ya nisemacho kwa sababu 95% ya viongozi hawa ni wa hovyo na wamefanya na wanaendelea kufanya mambo mengi sana ya kipumbavu kuonesha upumbavu wao...

Hata hili nasisitiza kuwa LILIFANYIKA na ni upumbavu Wa kiwango cha juu sana...!
Sio kila kitu ni issue ya kuita press conference.

You are completely not informed...

Tundu Lissu hakuita PC purposely kusema hili...

Kilichotokea ni kuwa, alitakiwa kutoa maoni yake juu ya uteuzi wa Jaji anayesikiliza shauri la kesi ya ugaidi & uhujumu uchumi dhidi M/kiti wa CHADEMA na wenzake vs Jamhuri ndugu Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi baada ya kuulizwa na moderator wa mjadala...

Ndiyo ktk kutoa maoni yake, lakini by coincidence akakumbuka tukio la Balozi Mulamula na Rais wake kuhangaikia fursa ya kupiga picha na US President, Joe Biden kisha wagonga mwamba...
Hapa hakuna la maana, mtu anauliza "Why FM anatangulia kabla ya Rais". Anyways, tusubiri siku CHADEMA wakichukua nchi tutaona jinsi watavyotuongoza. Maana wanajua kila kinachotakiwa kufanywa. Am out.
Hawawezi kuwa wapumbavu kama hawa na ndiyo maana they are so honest kutaka KATIBA MPYA YA WANANCHI ili kutengeneza mfumo mpya wa utawala lakini ndugu zako CCM wameshupaza shingo kwa sababu wanapenda upumbavu wanaoendelea kuufanya...

Yes, I agree. You better get out of this discussion. Bye, see you next this me...
 
Jiangalie kwenye kioo uone unefananaje ndio uje upige kelele hapa.
Ulivyo na akili za kinyani nyani hata hukumbuki kuwa simu unayotumia humu na na uwepo wa account yako humu ni kazi iliofanywa na mzungu. Pumbavu kabisa..
Folks of your kind ultimately got to get back to the class cause there’s plenty you know nothing about, I suggest you be my guest…..
8 Black Inventors Who Made Daily Life Easier | HISTORY
 
Umeninukuu vibaya au IQ ndio tatizo.
Stop running in the bushes with your cheap excuses, the F with IQ sh@t, yoh just describe how freeing the opposition leaders being held in custody would attribute to increased number of foreign investors.
 
Wewe endelea kumsikiliza Tundu lissu wako na sisi tuendelee kumsikiliza rais wetu.
Nyinyi Bavicha hamjui International protocols bali mnajua protocols za ufipa na Machame tu.
Waziri wa mambo ya nje anatangulia kuandaa events za protocols zote zitakazo fanyika wakati wa summit.
Lissu kwa sasa ni mzururaji tu huko Ulaya na America.
Hana jipya.
Na roho imewauma sana Tanzania [emoji1241] ilivyochotewa huu mkopo wa 1.3 trilioni.
 
fala mama yako, why such abusive language. fala mama yako, muulize mama yako kama kuna trush can atakwambia muziki wake
Matusi nayajibu kwa matusi, hoja kwa hoja
 
Nimemaliza yangu nasubiri jibu toka kwa mama yako. It is done on my side!
Aight!!! Have just realized who I was trying to engage a conversation with…. An Imbecilic empty headed tryna prove the crowd he still got somethin…. Endelea kumgonja hapo dampo, kaniambia leo anakutimbia na malboro containing my immature ejaculation specific for you to swallow ..
 
Sijui kama mgombea asiwe Lissu, mtu mwenye dharau, hasira na visasi. Mbaya zaidi haamini katika mila na tamaduni zetu. Anaamini kuwa vyetu vyote ni utopolo na Mzungu ni Mungu mtu hvyo tunatakiwa tumuabudie na kufuata vyote afanyavyo- Nonsense!

Wakiendelea kumchagua LISSU kugombea urais watawapa umaarufu ACT na kuwasaidia kuingia IKULU kwa urahisi sana. Fuatilia uchaguzi mdogo wa KONDE na angalia nafasi ya Chadema ukilinganisha na ACT.
 
Jiangalie kwenye kioo uone unefananaje ndio uje upige kelele hapa.
Ulivyo na akili za kinyani nyani hata hukumbuki kuwa simu unayotumia humu na na uwepo wa account yako humu ni kazi iliofanywa na mzungu. Pumbavu kabisa..
KWAHIYO TUWAABUDIE WAZUNGU! Kwa maneno mengine Nyerere alikuwa mpumbavu na mjinga kudai uhuru, yaani tungeendelea kutawaliwa au sio! Du, kweli shule mali.
 
Cief hangaya kukosa fursa ya kupiga picha na Rais Biden au Makamu ni jambo jema sana kwetu sisi wapenda demokrasia. Ni hayo tu.
 
Lissu kiboko ya CCM, amekosesha Chief Hangaya fursa ya kukutana na "beberu" wa dunia.
 
Lissu alisema yule mlinzi alikufa kabla hata JPM hajazikwa Chato..lakini soon tukamuona akiwa kwenye msiba wa Jiwe..Kwahiyo Lissu alitulisha matango pori..na hawezi kuaminika kwa kila analolisema.
Magufuli alisema anajenga nchi kwa pesa zetu za ndani, CCM hawaaminiki kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…