The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
- Thread starter
- #81
Hata siku moja hupangilii muda wa kukutana na Raisi wa Marekani/makamu wake kwa kipindi cha mwezi mmoja. Ni lazima uwe umeplan zaidi ya miezi mitatu kabla hujapata huo muda. Kipindi kile nchi nyingi zinapanga kukutana na Raisi huyu katika mkutano huo.
Ni kanuni au ni halmashauri ya kichwa chako inafikiri hivyo?
Rais mpya wa Zambia Hakainde Hichelema alichaguliwa few weeks before that meeting, yet akapata appointment ya kukutana nà USA - WHITE HOUSE chini ya VP Kamala Harris. Wewe dhana hii unaitoa wapi...?
Kwa mwaka huu Rais wa Marekani alikutana na zaidi ya viongozi 25 katika mkutano ule. Nao walipanga miezi mitano mpaka mwaka kabla.
Ni fikra zako tu duni hizi...
Kwa dhana yako hii, maana yake Rais wa Zambia Hakainde Hichilema alifanya appointment kabla hata hajajua kuwa ni Rais wa Zambia...!!
Unajiona ulivyo mj....???
Hivyo sikubaliani kuwa Waziri wetu wa mambo ya nchi za nje eti alihanhaika mwezi mzima akitafuta nafasi ya Rais wetu kupiga picha na Baiden - Hii siikubali.
Hakuna hasara wala faida ya wewe kukubali au kukataa. It's your choice...!
Haina maana kuwa hakujaribu kutafuta nafasi ya kuonana na Mr President Joe Biden na kushindwa kupata [alikataliwa] kwa sababu ya uchafu unaofanyika ktk nchi yake chini ya utawala wa CCM yake....!Kama Mama alivyosema alikutana na vikundi vingi na viongozi wa nchi mbali mbali - Hiyo ndio kazi aliyoifanya Waziri wetu Wa nchi za nje kwa mwezi mmoja nchini Marekani. Hiyo ya kupanga mipango ya mikutano si kitu rahisi.