imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ni furaha kwa wapenda DemokrasiaBahati mbaya alikataliwa...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni furaha kwa wapenda DemokrasiaBahati mbaya alikataliwa...!
Tena alitwambia mapema gari lamkaa hilo, linazima mda wowote, kweli sio kweli😂Pia alitwambia Jiwe yuko hoi mahututi tar 9 machi. Kweli sio kweli?
Ruti moja shamba ruti nyingine Gereji🤣🤣🤣Tena alitwambia mapema gari lamkaa hilo, linazima mda wowote, kweli sio kweli😂
MaCCM ni vile tu akili zao hazina akili.
Wangekua wanamuelewa Lissu, ingewasaidia sana.😂😂😂😂
Umaskini mbaya sana. Mwenzio Chif Hangaya anawahusudu na pesa anaomba anapewa wewe utakuwa mjinga unawaponda wazunguKubwajinga kabisa wewe, urafiki wako na Joe Biden umeanza lini, ananikera sana mtu ambaye watu weupe kwake ni zaidi ya Mungu aliyetuwekea utajiri usiopatikana popote duniania tukianzia Mt. Kilimanjaro, Ngorongoro, Serengeti, Tanzanite, Wema Sepetu, Mwendazake Dr. Shika, Zanzibar ya bibi kidude binti kibaraka and so on and so on…..
Tony Blair nayeye alimtuma nani bongo before kale kapicha na mama?
As long as she is another Dictotor hiyo nafasi ya kukutana na Mwanademokrasia alikuwa anatafuta ya nini??Huo ndio upinzani? Hizo ndio hoja za kuweza kuchukua Dola?
Childish.
Sikiliza kwa makini hiyo clip mwanzo mpaka mwisho....Huo ndio upinzani? Hizo ndio hoja za kuweza kuchukua Dola?
Childish.
Haaa haa just haa haaa .. Tripu shamba Tripu gereji 🤣🤣🤣🤣Ruti moja shamba ruti nyingine Gereji🤣🤣🤣
Huyu lissu hakika ni mtu wa ovyo sana. Tanzania sio nchi ya kutafuta fulsa kupiga picha na rais wa marekani kama lengo la pekee. Kuna viongozi hata kutoa pesa wanatoa au wanapewa fulsa kuonana na kupiga picha na rais wa marekani kutokana na kua ni vibaraka wa nchi hiyo. Nchi yetu ni msimamo wetu ndio unatupa heshima. Huyo lissu mwenyewe ndio anatafuta fulsa kuonana na viongozi wa huko ila hata barabara ya magogoni ya ikulu ya white house pengine hajapitishwa na kiongozi yeyote wa marekani. Jinsi anavyozungumza mwanamapinduzi yeyeto atamzarau.You may not like this. But it happened...
Kumbe bwana, kabla ya Rais Samia Hassan kuhudhuria summit ya kikao cha UNGA, NewYork wiki kadhaa zilizopita, balozi Liberata Mulamula, waziri wa mambo ya kigeni alitangulia mwezi mmoja kabla ili kumwandalia Rais nafasi ya kukutana na Rais Joe Biden na kupiga picha naye. Bahati mbaya alikataliwa...!
Kwanini? Msikilize Tundu Lissu kwenye video hiyo chini...
Na kama asemayo TL ni kweli [na ni kama kweli kwa 100%], basi bila shaka utawala wa CCM unàelekea ukingoni kwa sababu haiwezekani propaganda na udanganyifu uvuke mipaka mpaka kwa Rais Joe Biden wa USA...!!
Thank God kwa kuwa hawakufanikiwa kupitisha upuuzi wao kwa taifa hilo kubwa na rafiki yetu....
Msikilize Tundu Lissu...
View attachment 1970431
Huyu?Kubwajinga kabisa wewe, urafiki wako na Joe Biden umeanza lini, ananikera sana mtu ambaye watu weupe kwake ni zaidi ya Mungu aliyetuwekea utajiri usiopatikana popote duniania tukianzia Mt. Kilimanjaro, Ngorongoro, Serengeti, Tanzanite, Wema Sepetu, Mwendazake Dr. Shika, Zanzibar ya bibi kidude binti kibaraka and so on and so on…..
Tony Blair nayeye alimtuma nani bongo before kale kapicha na mama?
Unaonekana kupaniki bila sababu na kwa sababu ya ukosefu wa maarifa na kufikiri vyema...Huo ni uongo na unafiki, Biden hakuweza kiafya kukutana na maraisi wengi, na protocol ya USA ulitaka Maraisi wa nchi nyingi wakutane na makamu wa Raisi wa USA , hilo lilikataliwa na nchi nyingi, kwani sio protocol na ingekuwa kujivunjia heshima, kama baadhi ya maraisi waliokubali kukutana na VP.
Watu wana siri, hawasemiKumbe alienda kuaibika?
View attachment 1970895
Really? Really?
Maajabu hayo mkuu Kikwete yeye aliwaleta kabisa bongo kilibadilika nini.na mbona hawakumsifia bac.kifupi wapinzan hawajulikan wanataka nini?Huo ndio upinzani? Hizo ndio hoja za kuweza kuchukua Dola?
Childish.
"KUZUSHA" ni kufanya jambo fulani lienee na kusikika kwa watu wengi zaidi...Tundu Lisu ni mzushi tu!
Bibie kama anania nzuri kwanini asiruhusu Demokrasia na Utawala wa Sheria kuliko kuwahonga akina Tony Blair kwa hela zetu za Tozo na Kodi?
Kama wewe pekee ndo hujui wanataka nini, what is the problem so far...?Maajabu hayo mkuu Kikwete yeye aliwaleta kabisa bongo kilibadilika nini.na mbona hawakumsifia bac.kifupi wapinzan hawajulikan wanataka nini?
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo alikutana na Biden alivyokuwa UN, Lissu mrongo mrongo yawezekana.Lissu si ndo aliyesema yule mlinzi wa Magufuli Corona imemuua??!!..
Hawezi kuamnika popote.