Video: Kuna kuzaa mtoto na kuna kuzaa mtoto wa kizungu – Harmonize

Video: Kuna kuzaa mtoto na kuna kuzaa mtoto wa kizungu – Harmonize

Ukisikia kujichawia ndio huku, akitoka zezeta tena jeusi ndio mwanzo wa chuki.... Mfano uanze kusema wataka jinsia ya kiume afu atokee jike, ndio mwanzo wa chuki.
 
Kwani mzungu ndionani?
Ila jamaa limbukeni hajui huyo dogo anaweza mkataa
 
Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amedai anaomba Mungu kila kukicha mpenzi mpya mzungu ajifungue mtoto mwenye rangi nyeupe kama mama yake.
Harmonize.jpg

Muimbaji huyo hivi karibuni aliweka wazi ishu za ujauzito wa mpenzi wake huyo ambaye ni raia wa Marekani.

Akiongea na 255 ya XXL ya Clouds FM Jumatano hii, Harmo amedai kuna asilimia kubwa mpenzi wake huyo kujifungua mtoto wa kizungu na sio mwenye rangi kama yake. Msikilize Hapo chini

Hana akiri anatukuza vyeupe
 
Nimerudi...i hope alikuwa anatania alivyosema kuna kuzaa mtoto na kuna kuzaa mtoto wa kizungu...otherwise jamaa atakuwa mshamba!
 
Ngoja apate albino kabisa
(Siwatengi maalbino lakini)
 
Hv huyu mzingu hana picha nyingine tumuone vizur
 
Sio kosa lake huyu ni limbukeni Wa kiwango cha juu kabisa
Kama anadharau weusi je albino atamuweka kundi gani
 
Pale mmakonde anapojaribu kuwa jasiri na kuendelea kuuonyesha umakonde wake kila anapokuwepo.
 
Ngozi nyeupe huwa haimuachi mtu salama
 
Huyo Harmonize na Harmorapa hawana tofauti.
 
Dem mwnyw midomo inaelekea ananyonya sana magic stick
 
Back
Top Bottom