Dongo La Kiemba
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 1,830
- 1,263
Ukisikia kujichawia ndio huku, akitoka zezeta tena jeusi ndio mwanzo wa chuki.... Mfano uanze kusema wataka jinsia ya kiume afu atokee jike, ndio mwanzo wa chuki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje pacha yaani yamenifika shingoni.Pacha pole wamekukasirisha.
Vingine ni vya kupuuza na kuondoka kimyax2
Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amedai anaomba Mungu kila kukicha mpenzi mpya mzungu ajifungue mtoto mwenye rangi nyeupe kama mama yake.
![]()
Muimbaji huyo hivi karibuni aliweka wazi ishu za ujauzito wa mpenzi wake huyo ambaye ni raia wa Marekani.
Akiongea na 255 ya XXL ya Clouds FM Jumatano hii, Harmo amedai kuna asilimia kubwa mpenzi wake huyo kujifungua mtoto wa kizungu na sio mwenye rangi kama yake. Msikilize Hapo chini