Video: Laana ya kumhujumu Meya Isaya Mwita yamtafuna Mkurugenzi Sipora Liana, adhalilishwa kikaoni

Mkuu hili jamaa ni ndezi tu usiwe unalichukulia serious...Pia hawakilishi Chadema ingawa Chadema yenyewe imekuwa ya kipumbavu tu siku Hizi..ila huyu ni ndezi kuliko hiyo Chadema ya siku Hizi...
 
Hii ni aibu sana. Hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha, hawa ndio walokole wa Tanzania! Noma sana. Kumbe wanapigiana simu gizani!

Zaidi soma: RC Makalla amaliza mgogoro wa Meya na Mkurugenzi Kinondoni
Ukifuatilia clips za hili sakata kwa kuangalia clips husika huko you tube ni dhahiri kabisa meya alikuwa anamwonea mkurugenzi!! Bila shaka kuna madudu ya kutisha yamejificha nyuma ya sakata hili. Naomba uchunguzi wa karibu ufanyike na huyu mama wa kinondoni alindwe.
 
Shida wakurugenzi wanaokaa kwenye viti kwa muda mrefu huwa na viburi haswa...Kama huyu zipora Liana..halafu anajiita mlokole
Sasa mambo ya ulokole yanatoka wapi? Kumletea zengwe Zipora Liana hao wadiwani itawabidi wajipange kwani wengi wao ni wezi na wajihusisha Na mihadharati!
 
Mkuu hili jamaa ni ndezi tu usiwe unalichukulia serious...Pia hawakilishi Chadema ingawa Chadema yenyewe imekuwa ya kipumbavu tu siku Hizi..ila huyu ni ndezi kuliko hiyo Chadema ya siku Hizi...
Kwi Kwi Kwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…