Mbona hayafanani Kamanda?Hii ni aibu sana. Hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha, hawa ndio walokole wa Tanzania! Noma sana. Kumbe wanapigiana simu gizani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hayafanani Kamanda?Hii ni aibu sana. Hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha, hawa ndio walokole wa Tanzania! Noma sana. Kumbe wanapigiana simu gizani!
Alikuwa mwizi, fisadi, mhujumu uchumi, roho mbaya, katili ... Naomba niishie hapa maanaNa Mwendazake vipi hapo?
Kununja ndege mwa viroba vya pesa, na hataki kukaguliwa na CAG!
Huyo Mkurugenzi anadhani "jiwe" angalipo... ikiwa yu hivi kikaoni basi wa kumhurumia ni mwenza wake.Hii ni aibu sana. Hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha, hawa ndio walokole wa Tanzania! Noma sana. Kumbe wanapigiana simu gizani!
Zaidi soma: RC Makalla amaliza mgogoro wa Meya na Mkurugenzi Kinondoni
Mkuu hili jamaa ni ndezi tu usiwe unalichukulia serious...Pia hawakilishi Chadema ingawa Chadema yenyewe imekuwa ya kipumbavu tu siku Hizi..ila huyu ni ndezi kuliko hiyo Chadema ya siku Hizi...Ulokole wake umeingiaje hapo ww nae?hulka ya mtu binafsi isikupelekee kukashfu imani ya mtu.
kwa hio muislam mmoja akikutukana kwa akili zake ndio uanze kuukejeli uislam wote?mjifunze ku challenge vizuri.
Chadema acheni upuuzi wkt mwingine mtumie akili hata kama unamshutumu mtu.
Bado sana nyie kupewa nchi kuongoza kwa akili hizo.
Ukifuatilia clips za hili sakata kwa kuangalia clips husika huko you tube ni dhahiri kabisa meya alikuwa anamwonea mkurugenzi!! Bila shaka kuna madudu ya kutisha yamejificha nyuma ya sakata hili. Naomba uchunguzi wa karibu ufanyike na huyu mama wa kinondoni alindwe.Hii ni aibu sana. Hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha, hawa ndio walokole wa Tanzania! Noma sana. Kumbe wanapigiana simu gizani!
Zaidi soma: RC Makalla amaliza mgogoro wa Meya na Mkurugenzi Kinondoni
Sasa mambo ya ulokole yanatoka wapi? Kumletea zengwe Zipora Liana hao wadiwani itawabidi wajipange kwani wengi wao ni wezi na wajihusisha Na mihadharati!Shida wakurugenzi wanaokaa kwenye viti kwa muda mrefu huwa na viburi haswa...Kama huyu zipora Liana..halafu anajiita mlokole
Kwi Kwi KwiMkuu hili jamaa ni ndezi tu usiwe unalichukulia serious...Pia hawakilishi Chadema ingawa Chadema yenyewe imekuwa ya kipumbavu tu siku Hizi..ila huyu ni ndezi kuliko hiyo Chadema ya siku Hizi...