Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kigogo!Si mchezo! Nani amerekodi na kuvujisha video hii?
Sema tu mkuu, huyu mama ni wa Kitengo ndio maana iko kiburi!Mheshimiwa Songoro Mnyonge hanaga konakona
Kutofautiana kwenye vikao ni alama mojawapo ya kwamba viongozi wanafanya kazi huru, ila kugoma kusikilizana na kuendelea kujibishana kwenye vikao inaweza ondoa imani na heshma kwa viongozi
Busara busara busara
Mkurugenzi ana shida ya brain yalaaaa......Huyo mkurugenzi hawezi kuwa mlokole maana matendo yake yana mhukumu
Hapo chacha.... Ndo ujue kuwa mtu mpuuzi ni mpuuzi tu.Sasa wewe unamkanya mwenzio kwamba Muislamu mmoja akikosea si sahihi kuwajumuisha waislamu wote,wakati huo huo unawaambia CHADEMA waache upuuzi kwa kuwa tu umekosea na mtu mmoja anayedhani ni CHADEMA.
Meya kidogo amtandike mangumi huyo mlokole uchwaraMkurugenzi ana shida ya brain yalaaaa......
Usinionee....mimi sikubali kuonewa
Usinionee....ukinionea nitasema-DED Kinondoni😀😀😀😀😀
Siyo kata ya kambangwa Bali ya mwananyamala! Kambangwa ni mtaa anaoishi huyo Songoro karibu na shule ya msingi kinondoni na sekondari ya kambangwa mkabala na ofisi za OSHA.Songoro Hahaha
Watu wa kata ya kambangwa wanamjua vilivyo
Ova
Uliza historia yake huyo mama kote alikopitia, ni mikwaruzano mitupu.Upande mwingine, mie naona kama Mama aliona kama vile ' mfumo dume' ulitaka kumnyanyasa' na akanifuraisha kwa kila aliposhambuliwa tu,yeye alikuwa jasiri na jibu fupi tu......msinionee bhana.... hahahahaaaa
Wewe ndugu usirudie tena kukashifu imana za watu wengine. Sawa??Hii ni aibu sana. Hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha, hawa ndio walokole wa Tanzania! Noma sana. Kumbe wanapigiana simu gizani!
Imani ya mtu lazima ijionyeshe katika yale anayotenda.Wewe ndugu usirudie Tena kukashifu imanai za watu wengine. Sawa??
Kwanza Kama u mstaarabu hembu omba radhi. How come unaunganisha imanai ya mtu na uovu wake halafu iwe nini ionekane wa Imani hiyo Ni miyeyusho au?.
Don't do that again.
Kwa kifupi hapo Mkurugenzi ndiyo kaibuka hero! We umeweka kasehemu kadogo tu! Sio yote!Hii ni aibu sana. Hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha, hawa ndio walokole wa Tanzania! Noma sana. Kumbe wanapigiana simu gizani!
Lazima apaniki kwa usnichi alomfanyia huyo mama! Yaani wamekaa kikao nje ya kikao na waliazimia kumkataa na kumfurusha ofisini na waliopeleka hoja zao tamisemi na kwa waziri mkuu zikarudishwa kwa mama ghafla na ndio maana akawaambia na meta katabasamu kinafiki na kujihami kupita kiasi!Heshimu mamlaka😃😃😃😃
Mkulungwa kapaniki..
Huyu mama huwa hapindishi mambo,nilikuwa nafuatilia ishu zangu za ardhi kipindi cha urais wa Jk,akiwa Mkurugenzi Tabora,the way alivyoshughulikia na ukichukulia nilikuwa nimeshasuffer sana ckuamini kama nchi hii ilikuwa bado ina viongozi kama yeye.Lazima apaniki kwa usnichi alomfanyia huyo mama! Yaani wamekaa kikao nje ya kikao na waliazimia kumkataa na kumfurusha ofisini na waliopeleka hoja zao tamisemi na kwa waziri mkuu zikarudishwa kwa mama ghafla na ndio maana akawaambia na meta katabasamu kinafiki na kujihami kupita kiasi!
Baraza limejaa wapiga dili wenye vijikampuni vya kuzoa taka mitaani ambapo hucharge sh. Kati ya 1000/= na 3000/= lakini risiti inayotolewa no ya Kati ya sh. 100/= na 300/= ambazo hupelekwa halmashauri. Wao wenyeviti hubaki na kiasi Cha sh 900, 1800 na 2700/= Jambo ambalo mkurugenzi ameona ni wizi wa wazi hivyo aliwakamata baadhi ya watendaji na wenyeviti wa mitaa na kuwafungulia mashitaka ya wizi na ubadhirifu kabla ya idd.
Kwa kuwa madiwani wote ni wapigaji akiwemo na yeye wakakaa kikao nje ya kikao kumkataa mkurugenzi!
Kuhusu suala la mkurugenzi kumpa za uso mwalimu mkuu ni kuwa alipeleka proposal ya kuomba vifaa vya ujenzi two days before the meeting na akitaka kumforce mkurugenzi aifanyia maamuzi ya haraka bila kumshirikisha mchumi na engineer watathimini gharama hizo!
Songoro alijificha kwa mwl mkuu huyo ili aweze kisukuma agenda yake na amefeli big time!
Songoro analeta siasa kwenye kazi za kitaalamu na ni lazima ashindwe!
Sipora Liana ni mkurugenzi aliyerithi kazi ya babake aliyekuwa mkurugenzi pia! Anazo skills zote zinazohitajika kwenye fani hiyo alizorithi kwa babake. Ni mwanamke wa chuma na hajui kuyumba ukiingia kwenye 12 zake lazima akuchakaze!Huyu mama huwa hapindishi mambo,nilikuwa nafuatilia ishu zangu za ardhi kipindi cha urais wa Jk,akiwa Mkurugenzi Tabora,the way alivyoshughulikia na ukichukulia nilikuwa nimeshasuffer sana ckuamini kama nchi hii ilikuwa bado ina viongozi kama yeye.