Video: Laana ya kumhujumu Meya Isaya Mwita yamtafuna Mkurugenzi Sipora Liana, adhalilishwa kikaoni

Video: Laana ya kumhujumu Meya Isaya Mwita yamtafuna Mkurugenzi Sipora Liana, adhalilishwa kikaoni

Hivi vyeo vinasumbua - Mkurugenzi na Meya nani anamzidi mwenzake ki-itifaki - Mmoja ni presidential appointee na mwingine ni kiongozi wa kuchaguzliwa wakilishi wa wananchi...

Nachoona hapo hapo Madiwani pamoja na meya wao wanataka kumzunguka Mkurugenzi atoe hela wazipige, ticha wa shule naye anasubiri huko huko mgawo wake - Mama naye yupo gado kagoma kusign.. patamu hapo !!

Hapa ndipo tatizo lipo, hawa hawa walisema wapinzani ndiyo wacheleweshaji wa maendeleo katika kila ngazi, sasa wamebaki wenyewe mambo ndiyo kama hivi..

Kweli Mama una kazi nzito - kuna muda utawakumbuka hata kina Lema / Msigwa / Mbowe /Lissu etc walikuwa wanakusaidieni kukemea mambo mengine ya hovyo hovyo.
 
Mheshimiwa Songoro Mnyonge hanaga konakona

Kutofautiana kwenye vikao ni alama mojawapo ya kwamba viongozi wanafanya kazi huru, ila kugoma kusikilizana na kuendelea kujibishana kwenye vikao inaweza ondoa imani na heshma kwa viongozi

Busara busara busara
Sema tu mkuu, huyu mama ni wa Kitengo ndio maana iko kiburi!
Angekuwa mke wa mwendazake sijui ingekuwaje?
 
Sasa wewe unamkanya mwenzio kwamba Muislamu mmoja akikosea si sahihi kuwajumuisha waislamu wote,wakati huo huo unawaambia CHADEMA waache upuuzi kwa kuwa tu umekosea na mtu mmoja anayedhani ni CHADEMA.
Hapo chacha.... Ndo ujue kuwa mtu mpuuzi ni mpuuzi tu.
 
Hata fisi huwa wakishamaliza nyama huanza kulana wao kwa wao.
 
Upande mwingine, mie naona kama Mama aliona kama vile ' mfumo dume' ulitaka kumnyanyasa' na akanifuraisha kwa kila aliposhambuliwa tu,yeye alikuwa jasiri na jibu fupi tu......msinionee bhana.... hahahahaaaa
Usinionee....mimi sikubali kuonewa
Usinionee....ukinionea nitasema-DED Kinondoni😀😀😀😀😀
 
Songoro Hahaha
Watu wa kata ya kambangwa wanamjua vilivyo

Ova
Siyo kata ya kambangwa Bali ya mwananyamala! Kambangwa ni mtaa anaoishi huyo Songoro karibu na shule ya msingi kinondoni na sekondari ya kambangwa mkabala na ofisi za OSHA.
 
Upande mwingine, mie naona kama Mama aliona kama vile ' mfumo dume' ulitaka kumnyanyasa' na akanifuraisha kwa kila aliposhambuliwa tu,yeye alikuwa jasiri na jibu fupi tu......msinionee bhana.... hahahahaaaa
Uliza historia yake huyo mama kote alikopitia, ni mikwaruzano mitupu.
She is socially unacceptable!
 
Hii ni aibu sana. Hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha, hawa ndio walokole wa Tanzania! Noma sana. Kumbe wanapigiana simu gizani!

Wewe ndugu usirudie tena kukashifu imana za watu wengine. Sawa??
Kwanza Kama u mstaarabu hembu omba radhi. How come unaunganisha imanai ya mtu na uovu wake halafu iwe nini??,, Je ili ionekane wa Imani hiyo ni miyeyusho au????
Don't do that again.
 
Wewe ndugu usirudie Tena kukashifu imanai za watu wengine. Sawa??
Kwanza Kama u mstaarabu hembu omba radhi. How come unaunganisha imanai ya mtu na uovu wake halafu iwe nini ionekane wa Imani hiyo Ni miyeyusho au?.
Don't do that again.
Imani ya mtu lazima ijionyeshe katika yale anayotenda.
Ukijiita mlokole halafu unafanya vitu ambavyo mlokole hapaswi kufanya , basi huyo mtu yuko kundi la walokole-mbwa mwitu.
 
Huyu mama huwa hapendi shortcut namjua alishawahi kuwa mkurugenzi Tabora,cjui ana shida gani na mayor ila naona watu wengi humu wanachangia kwa hasira ya uchama.
 
Heshimu mamlaka😃😃😃😃
Mkulungwa kapaniki..
Lazima apaniki kwa usnichi alomfanyia huyo mama! Yaani wamekaa kikao nje ya kikao na waliazimia kumkataa na kumfurusha ofisini na waliopeleka hoja zao tamisemi na kwa waziri mkuu zikarudishwa kwa mama ghafla na ndio maana akawaambia na meta katabasamu kinafiki na kujihami kupita kiasi!
Baraza limejaa wapiga dili wenye vijikampuni vya kuzoa taka mitaani ambapo hucharge sh.

Kati ya 1000/= na 3000/= lakini risiti inayotolewa no ya Kati ya sh. 100/= na 300/= ambazo hupelekwa halmashauri. Wao wenyeviti hubaki na kiasi Cha sh 900, 1800 na 2700/= Jambo ambalo mkurugenzi ameona ni wizi wa wazi hivyo aliwakamata baadhi ya watendaji na wenyeviti wa mitaa na kuwafungulia mashitaka ya wizi na ubadhirifu kabla ya idd.

Kwa kuwa madiwani wote ni wapigaji akiwemo na yeye wakakaa kikao nje ya kikao kumkataa mkurugenzi!

Kuhusu suala la mkurugenzi kumpa za uso mwalimu mkuu ni kuwa alipeleka proposal ya kuomba vifaa vya ujenzi two days before the meeting na akitaka kumforce mkurugenzi aifanyia maamuzi ya haraka bila kumshirikisha mchumi na engineer watathimini gharama hizo!

Songoro alijificha kwa mwl mkuu huyo ili aweze kisukuma agenda yake na amefeli big time!
Songoro analeta siasa kwenye kazi za kitaalamu na ni lazima ashindwe!
 
Namuona Mheshimiwa Godiwin kwa pembeni pale kwani yeye Anasemaje
 
Lazima apaniki kwa usnichi alomfanyia huyo mama! Yaani wamekaa kikao nje ya kikao na waliazimia kumkataa na kumfurusha ofisini na waliopeleka hoja zao tamisemi na kwa waziri mkuu zikarudishwa kwa mama ghafla na ndio maana akawaambia na meta katabasamu kinafiki na kujihami kupita kiasi!
Baraza limejaa wapiga dili wenye vijikampuni vya kuzoa taka mitaani ambapo hucharge sh. Kati ya 1000/= na 3000/= lakini risiti inayotolewa no ya Kati ya sh. 100/= na 300/= ambazo hupelekwa halmashauri. Wao wenyeviti hubaki na kiasi Cha sh 900, 1800 na 2700/= Jambo ambalo mkurugenzi ameona ni wizi wa wazi hivyo aliwakamata baadhi ya watendaji na wenyeviti wa mitaa na kuwafungulia mashitaka ya wizi na ubadhirifu kabla ya idd.
Kwa kuwa madiwani wote ni wapigaji akiwemo na yeye wakakaa kikao nje ya kikao kumkataa mkurugenzi!
Kuhusu suala la mkurugenzi kumpa za uso mwalimu mkuu ni kuwa alipeleka proposal ya kuomba vifaa vya ujenzi two days before the meeting na akitaka kumforce mkurugenzi aifanyia maamuzi ya haraka bila kumshirikisha mchumi na engineer watathimini gharama hizo!
Songoro alijificha kwa mwl mkuu huyo ili aweze kisukuma agenda yake na amefeli big time!
Songoro analeta siasa kwenye kazi za kitaalamu na ni lazima ashindwe!
Huyu mama huwa hapindishi mambo,nilikuwa nafuatilia ishu zangu za ardhi kipindi cha urais wa Jk,akiwa Mkurugenzi Tabora,the way alivyoshughulikia na ukichukulia nilikuwa nimeshasuffer sana ckuamini kama nchi hii ilikuwa bado ina viongozi kama yeye.
 
Sipora Liana ni mkurugenzi aliyerithi kazi ya babake aliyekuwa mkurugenzi pia! Anazo skills zote zinazohitajika kwenye fani hiyo alizorithi kwa babake. Ni mwanamke wa chuma na hajui kuyumba ukiingia kwenye 12 zake lazima akuchakaze!
Pale alipo watumishi wanachungulia faili lake kuangalia anastaafu lini!
 
Huyo meya ana matatizo makubwa mjinga huyo

Kwenye video ukisikiza anasema eti kazi ya kupeleka vifaa vya ujenzi kama matofali n simenti nk ni kazi ya wao madiwani!!!!! Hiyo ndio kazi ya diwani?

Nilitamani huyo mama amzabe vibao huyo meya.Angetumia mkono wake wa kushoto kumzabua

Ana huruma sana huyo mama uuu ningekuwa mimi hicho kikao kingevunjika kwa meya kuvunjwa jicho alilokodoa sana na kumng`ata meno kwenye pua yake na kuondoka na kipande cha pua yake na kwenda kukitema jalalani

Back
Top Bottom