Pre GE2025 Video: Lissu amchabanga mwandishi wa Clouds, 'unaonekana hufuatilii kabisa maneno ninayozungumza na Media'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Halafu inaonekana ana Ego. Hataki kuelekezwa
 
Huyo Kija si mwana ccm mpuuzi mmoja hivi? Hamna kitu hapo, Nafurahi sana Jamaa amemkumbali Mzee Mbowe, CCM wanateseka sana
 
Hakuna mtu Dunia hii asiekosea ukijua ya hapa wengine Wanajua ya kule tumetofautiana hakuna aliekamilika asilimia 100%
 
Huyu hafai kuwa muandishi wa habari.
Mwandishi gani anataka uamini kile alichokiamini yeye na kutata ukubali?

Angalia amekuwa uchi sasa.
Sijui alitokaje kwa aibu aliyoipata?
 
Binti anataka kugombana kabisa na Bwana Lissu, poor poor
 
Lissu ni "mropokaji" jamani, mnapofanya intavyuu inabidi mhakikishe wapo waandishi nguli wanaoweza kumtuliza vinginevyo ngumi zinaweza kupigwa๐Ÿ˜ƒ
 
Sasa hapo mpe mijadala ya mapenzi uone anavyotiririka.

Wabongo wengi ukitoa story za mapenzi kichwani weupe hadi sio poa. Huyo dada ni mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ