Pre GE2025 Video: Lissu amchabanga mwandishi wa Clouds, 'unaonekana hufuatilii kabisa maneno ninayozungumza na Media'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kibaraka anadhani kila mtu anafuatilia kila anachoropoka mitandaoni na kwenye vyombo vya habari,

infact,
kaulizwa kitu rahisi sana licha ya kutaka kukwepa alichotaka kuthibitisha muandishi kutoka kwake
 
Huyo dada ni mwepesi sana ichwani! Pia generation hii kuna media personalities hawako well informed. Sijui ni ujuaji ndio unawafanya wasiingie maktaba kuchimba na kuchimbua takwimu na taarifa kabla ya mahojiano na mtu husika! Yani mtu akiona heading tu anataka ategeneze tumaswali tudogo dogo tu wakati kuna vitu vingi mhimu alipaswa kuuliza.
 
Wasome wapi

Ova
 
Mwandishi kilaza, her ego was touched when told hufuatilii, ni kweli she sounds uninformed and clueless. What a pity hii ndio kizazi cha uandishi wa sasa
Sio kwamba hafuatilii but anachagua ku ignore facts na ku push anachokitaka. Clouds waangalie cv yake upya

Wanashindwaje kupata mtu kama salim kikeke
 
Huwa namuangalia kwweli hiki kipindi hakiwezi amejaa ujuaji mwingi usiokuwa na maarifa ni kama vile anaenda kumfanyia mtu kazi..
Analysis ya kwanza
1. Anapenda kujibizana na wahojiwa wake kwa kujifanya anajua kila kitu. Mtu umemwita kwwnye kipindi chake mwache aeleze anachokijua au kukielewa Acha kumkatisha katisha ovyo huku ukitaka kutekeleza agenda zako
2. Nilifuatilia mahojiano ya jebra kambole na Yericko Nyerere kuna point ambayo Yericko Nyerere aliipopint kuwa vyombo vingi vya habari kwa muda mrefu mliacha kuiongolea chadema Lakini baada ya Tundu lissu na Mbowe kugombea nafasi moja vyombo vyote vimeonyesha interest na Chadema...kakaja juu etii ohhh si kweli oohhh sijui tumefanya hili, lile etc... wakabishana ila nadhani busara za mhojiwa akanyamaza, lkn ukweli unajulikana
2. Jana kamhoji Gerva Lyenda hivi hivi yaani haachi mtu aongee mtazamo wake anatka kumpeleka kwenye angle yake na hii Gerva naona ikawa inampa shida kiasi fulani lkn alijitahidi sana kujiweka kwa nafasi yake. Anapendq kuuliza maswali ambayo hayako relevant.

3. Sasa leo kakutana na kisiki cha mpingo lissu hajamkopesha nadhani kati ya interview za ovyo ambazo anaweza kuiona yeye ameshindwa kudeliver ni hii ya Leo. Lissu kamoutshine kabisa. Wale co-host wamejitahid lkn ni kama vile walikuwa hawajiamini kumhoji lissu. Yeye kija leo kabaki kuwa msikilizaji zaidi kwani maswali yalikuwa panched hta kabla hajayamaliza. Ni hicho kilichotokea leo. Ajifunze kuhoji watu wakubwa kama kina Tundu Lissu ukiwa umefanya homework vizuri. Amuangalie mwenzake masoud kipanya anavyokuwa katika uhojaji. Hiki kipindi kilimhitaji zaidi masoud kipanya kuliko hao 360.
 
Ubunge viti maalumu unamsumbua, wazi wazi anaonekana kaegemea wapi.
 
"Nothing wrong with a dictatorship, so long as you're the dictator."

Moja ya Skills ya muhimu zaidi ni kuweza kuongea na watu wa aina yoyote ile (no matter hata kama sio wafuatiliaji au hawana akili) sababu nao ni walipa Kodi na wanahitaji kuelewa, thus wewe waeleweshe tu...

Truth fear no Questions.... (Huenda huyu anafuatili ila watazamaji wake / wasikilizaji wake hawafuatilii, kwahio badala ya kushushana wewe jibu tu)
 
Nahisi kapewa maagizo ya kumbana Lissu, nimefuatilia hayo mahojiano hilo ni dhahiri.

Angekuwa yule Kabaye ndiye angeiweza hiyo kazi, huyu akili ndogo na ana mihemuko kafeli.
Namuonaga hana upeo hata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…