Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kibaraka anadhani kila mtu anafuatilia kila anachoropoka mitandaoni na kwenye vyombo vya habari,Katikati ya mahojiano yaliyofanywa na kituo cha televisheni cha Clouds mapema leo na Tundu Lissu ambaye ameonekana akimkosoa mwandishi wa kituo hicho Kija Yunus ambaye katika uulizaji wake wa maswali Lissu amedai hajui baadhi mambo akimtaka kufuatilia zaidi dhidi ya yanayoendelea katika uchaguzi wa CHADEMA.
"Unapokuja kumuinterview mtu, unapaswa angalu uwe unajua kwenye hayo masuala ambayo unataka kuyajua"
View attachment 3203354
"
infact,
kaulizwa kitu rahisi sana licha ya kutaka kukwepa alichotaka kuthibitisha muandishi kutoka kwake
