VIDEO: Lori laanguka Morogoro, wananchi wakimbilia kuchota mafuta

VIDEO: Lori laanguka Morogoro, wananchi wakimbilia kuchota mafuta

Lori la mafuta (ambayo bado hayajathibitishwa kuwa ya aina gani) ambalo limeelezwa kuwa lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Morogoro limepinduka eneo la kijiji cha Mwidu mkoani Morogoro huku wananchi wakionekana kubebelea madumu kwa ajili ya kuchota mafuta hayo.

Watu wa Morogoro Hawana akili
 
Lori la mafuta (ambayo bado hayajathibitishwa kuwa ya aina gani) ambalo limeelezwa kuwa lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Morogoro limepinduka eneo la kijiji cha Mwidu mkoani Morogoro huku wananchi wakionekana kubebelea madumu kwa ajili ya kuchota mafuta hayo.

View attachment 3241650Hawana hofu,wanajua ziraeli yupo Congo anakishibia ya wa Africa wasiopendana wenye tamaa kuliko utu​
 
hizi ng'ombe za Morogoro zishasahau mara hii kilichowatokea wenzao.
 
Kwann hayo malori yanaangukiaga Morogoro tu?

Wananchi wawe makini isije kuwa ni mpango maalum wa CCM kutoa kafara ya uchaguzi .
 
Moro tena
Morogoro ndio njia panda ya Tanzania inayo unganisha karibu mikoa yote na jiji la Dar es salaam.

Malori na mabasi mengi lazima yapite Morogoro kwenda mikoa ya kati na kusini mwa Tanzania.

Ndio maana Ajali haziishii Morogoro.
 
Maisha magumu ndiyo yanayopelekea, wao hawajali na walishasahau
Mkuu sio sababu hii.

Ni sawa mwanamke malaya akuambie anajiuza kwa sababu ya maisha magumu wakati huo ana smart ya laki5 hadi milioni na nguo za thamani. Wakati huohuo wapo wanawake wazuri kama yeye au kumzidi wanauza ndizi na vinywaji stend kwa mtaji wa 10k

Au kijana awe shoga asingizie maisha magumu.......MIMI HUWA NASEMA HIZI ZOTE NI TAMAA NA UVIVU!1

Uwezi hatarisha maisha/utu wako kwa kisingizo cha maisha magumu.

Mtu yeyote yule ukikutana nae anafanya mojawapo niliyotaja hapo au na yanayo fanana nayo angalia kushoto na kulia kwako kama hakuna mtu mpige kipigo ambacho hata kisahau kisha tokemeaa
 
Back
Top Bottom