KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Watu wa Morogoro Hawana akiliLori la mafuta (ambayo bado hayajathibitishwa kuwa ya aina gani) ambalo limeelezwa kuwa lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Morogoro limepinduka eneo la kijiji cha Mwidu mkoani Morogoro huku wananchi wakionekana kubebelea madumu kwa ajili ya kuchota mafuta hayo.
Alisema ngambiliKifo ni kiffo tuu!
Wakimbilie roli la mafuta mkuuMAPINDUZI GANI UNATAKA WAFANYE?
Lori la mafuta (ambayo bado hayajathibitishwa kuwa ya aina gani) ambalo limeelezwa kuwa lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Morogoro limepinduka eneo la kijiji cha Mwidu mkoani Morogoro huku wananchi wakionekana kubebelea madumu kwa ajili ya kuchota mafuta hayo.
View attachment 3241650Hawana hofu,wanajua ziraeli yupo Congo anakishibia ya wa Africa wasiopendana wenye tamaa kuliko utu
Morogoro ndio njia panda ya Tanzania inayo unganisha karibu mikoa yote na jiji la Dar es salaam.Moro tena
Tumeshakubaliana hakuna kuchomoa betri.Hapo waombe š„usitokee
Morogoro ndio njia panda ya Tanzania.Kwann hayo malori yanaangukiaga Morogoro tu?
Wananchi wawe makini isije kuwa ni mpango maalum wa CCM kutoa kafara ya uchaguzi .
Mkuu sio sababu hii.Maisha magumu ndiyo yanayopelekea, wao hawajali na walishasahau