Video: Mabeberu yatupa karata ya mfa maji dhidi ya Rais Magufuli

Video: Mabeberu yatupa karata ya mfa maji dhidi ya Rais Magufuli

Hivi wazungu wakiitwa mabeberu Waafrika wataitwaje?.Yaani kauli hizi inabidi kuwa nazo makini sana hata kama mtu unamchukia.Binafsi siwezi kuwaita wazungu mabeberu kwasababu ni kujitusi wenyewe.
Upande mmoja ukiwa na MABEBERU upande mwingine utakua na mabuzi jike.
Now you know
 
Kwani neno mabeberu ni tusi?
Duniani wawili wawili,kukiwa na mke na mume yupo,kukiwa mrefu basi kuna mfupi pia;Kwa hiyo wazungu wakiitwa mabeberu nyie Waafrika basi mumekuwa mbuzi jike mnasubiri kupandwa na kumwagiwa shawaha ili mbebe mimba.
 
Logic and Arguments Should be the only topic taught in secondary education... Kwa miaka yote minne.

Inahuzunisha jinsi watu wanavyoargue... Kama wana mtindio wa ubongo. Watanzania wengi hawako objective... Clouded na Ushabiki maandazi na kaumimi ka hovyo tu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Umeongea la maana sana
 
Wenye uelewa finyu huwa wanawaita wazungu mabeberu pale wanapokosa kuelewana nao,lakini wakipewa fedha wanawaita wadau wa maendeleo,wahisani au wafadhili wetu.
 
Back
Top Bottom