OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Magoli yanaonekana, yanapikwa yanapakuliwa. Kipindi cha kwanza unapigwa kipindi cha pili unanyukwa. Mwana kulitaka mwana kulipewa. Boli linatembea. Ni magoli mixer, yapo ya uwezo binafsi yapo ya mfumo wa sayansi ya mpira.
Tofauti kabisa na wale ndugu zetu magoli ya ujanja ujanja. Magoli ya kushirikiana refa na timu pinzani. Ushindi mpaka mvae jesi nyeusi. Eti mpaka mpaka mpitie milango ya uwani au kuingia vyumbani kinyume nyume 😂😂😂
Unajiuliza hapa tunatazama mpira au mashindano ya uganga kule Simiyu.
Tazama mwenyewe hapo upate raha