Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana