Video: Maiti yapambana na wanakijiji ikiwa ndani ya Jeneza ikigoma kuzikwa

Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana
View attachment 3004697
Hii itakuwa ni AI kabisa
 
[emoji508][emoji508]
JamiiForums68569125.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
[emoji23]Acha ubishi brother. Huyo ni Bibi mmoja huko kwetu, tunamuita Bi Suguna. Alikuwa mchawi konkodi, kafa jana, leo natumiwa video na brother kuwa kagoma kuzikika
Usibishane na watoto hao wanaokaa kwa mashemeji.
 
Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana
View attachment 3004697
Mkuu kuwa serious. Wapi hio?
 
😂Acha ubishi brother. Huyo ni Bibi mmoja huko kwetu, tunamuita Bi Suguna. Alikuwa mchawi konkodi, kafa jana, leo natumiwa video na brother kuwa kagoma kuzikika

Kagoma kuzikwa lakini kakubali kufa, kutiwa kwenye jeneza...
 
Sasa kuhangaika kote huko na handbrake kama zote
Kwanini wasilitupe chini na kulivuta kwa kamba?

Ndio maana umasikini hauishi
Hiyo clip kila nchi watasema imetokea kijiji chao
We unasikia lugha gani hapo
Lugha ya hapo haieleweki ni ya nchi gani... Hao jamaa ilibidi waliweke kwenye Meza nimeiona hapo tuone kama lingeendelea kufanya hivyo
 
Yaani
Watu waongo sana
Hapo utakuta mchungaji feki
Anatafuta mileage
 
Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana
View attachment 3004697

Yanaweza kuwa maigizo kabisa, si wamuweke chini
 
Jeneza lilikubali kuwekeka chini mida ya saa 12, bila hivyo ilitakiwa mtu akupokee ndio liache kukung'ang'ania. Bila hivyo, utazunguka nalo hadi uchoke
 
Yanaweza kuwa maigizo kabisa, si wamuweke chini
Hawekeki chini mkuu, yaani hapo ulitakiwa utafute mtu umsakazie afanye kama anakupiga tafu, kisha ukimbie, umuachie msala aendelee kuhangaika nalo
 
Back
Top Bottom