Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Watu wamelewa wanaenda kubeba jeneza halafu mnasema maiti imegomaNimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana
View attachment 3004697