Video: Maiti yapambana na wanakijiji ikiwa ndani ya Jeneza ikigoma kuzikwa

Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana
View attachment 3004697
Watu wamelewa wanaenda kubeba jeneza halafu mnasema maiti imegoma
 
.
 
Attachments

  • cup-of-tea-teapot.gif
    cup-of-tea-teapot.gif
    231.6 KB · Views: 1
Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana
View attachment 3004697
Alafu we dogo unatuonaje humu ndani? Umesema amekufa Jana na hii video ina zaidi ya miaka 3 naifahamu. Usiwe fala wa kudanganya watu ili upate likes as upo Facebook huko.
 
😂Acha ubishi brother. Huyo ni Bibi mmoja huko kwetu, tunamuita Bi Suguna. Alikuwa mchawi konkodi, kafa jana, leo natumiwa video na brother kuwa kagoma kuzikika
Shida Nini

Wangenunua petrol wamwagie Jeneza Kisha walipige kibiriti moto

shenzi type

Yaani watu waache shughuli za kujiimgizia kipato wakae wanahangaika na yeye piga kibiriti
 
Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana
View attachment 3004697
Mkuu hii mbona comedy? Umetufanga kamba aisee😂🤣😂🤣
 
Huu upuuzi huwezi kukuta kwenye msiba wa tajiri. Hiyo video tu hapo mazingira pamoja na watu wananuka umaskini mtupu.
 
Alafu we dogo unatuonaje humu ndani? Umesema amekufa Jana na hii video ina zaidi ya miaka 3 naifahamu. Usiwe fala wa kudanganya watu ili upate likes as upo Facebook huko.
Humu hatuitani madogo, rudi kwanza fb. Humu tunaitana wakuu. Tuna utamaduni wa kuheshimu mkubwa kwa mdogo
 
Nimekuita dogo na nitarudia tena kukuita hivyo kwa habari uliyoileta huku ukijua unadanganya watu kwa kusema imetokea kijijini kwenu na ni jana wakati video ni ya kitambo sana. Unajua utamaduni wa kuitana wakuu ulianzaje? Et me tell you, ulianzia kwakuleta habari konki zenye references na uwakirishaji wa kiweredi, walioleta habari hizo walipewa heshima ya kuitwa wakuu. Kwenye nyuzi hii hao watakaokuita wakuu watakuwa hawalielewi hili
 
Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana
View attachment 3004697
Igizo nzuri sana
 
Nimekuita dogo na nitarudia tena kukuita hivyo kwa habari uliyoileta huku ukijua unadanganya watu kwa kusema imetokea kijijini kwenu na ni jana wakati video ni ya kitambo sana. Unajua utamaduni wa kuitana wakuu ulianzaje? Et me tell you, ulianzia kwakuleta habari konki zenye references na uwakirishaji wa kiweredi, walioleta habari hizo walipewa heshima ya kuitwa wakuu. Kwenye nyuzi hii hao watakaokuita wakuu watakuwa hawalielewi hili
Mungu wangu. Lisikieni hili Bunji😂😂
Utachekwa hadi na mende. Maskini! 😂😂 Maisha yake yote kayahamishia JF, Mungu akusaidie😂😂😂
 
Manina zenu airtel kavideo tu haka kadogo ndio kakuniangalizisha dakika kumu kweli!
 
Back
Top Bottom