Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Kwa hiyo na wewe ndio ushaamini hayo maigizo hapo?Wale wanaokataa uchawi waje wapinge sasa
😂Acha ubishi brother. Huyo ni Bibi mmoja huko kwetu, tunamuita Bi Suguna. Alikuwa mchawi konkodi, kafa jana, leo natumiwa video na brother kuwa kagoma kuzikikaKwa iyo ww ndo ushaamini ayo maigizo apo?
Haha hujakutana nayo tu...Kwa iyo ww ndo ushaamini ayo maigizo apo?
Anagoma kuzikwa kwanini asingegoma kufa?😂Acha ubishi brother. Huyo ni Bibi mmoja huko kwetu, tunamuita Bi Suguna. Alikuwa mchawi konkodi, kafa jana, leo natumiwa video na brother kuwa kagoma kuzikika
Maigizo et alNimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana
View attachment 3004697
Hajafa ndiyo maana kagoma kuzikwaAnagoma kuzikwa kwanini asingegoma kufa?
Achq uongoo..hii clip ipo huku miaka na miaka😂Acha ubishi brother. Huyo ni Bibi mmoja huko kwetu, tunamuita Bi Suguna. Alikuwa mchawi konkodi, kafa jana, leo natumiwa video na brother kuwa kagoma kuzikika
Wale wanaokataa uchawi waje wapinge sasa