Waghana hapana aisee..Sio Ghana kweli? Ndio wanapenda kucheza na maiti.
Hii itakuwa ni AI kabisaNimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana
View attachment 3004697
KaoleNimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana
View attachment 3004697
Sasa kuhangaika kote huko na handbrake kama zoteWale wanaokataa uchawi waje wapinge sasa
Usibishane na watoto hao wanaokaa kwa mashemeji.[emoji23]Acha ubishi brother. Huyo ni Bibi mmoja huko kwetu, tunamuita Bi Suguna. Alikuwa mchawi konkodi, kafa jana, leo natumiwa video na brother kuwa kagoma kuzikika
Mkuu kuwa serious. Wapi hio?Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana
View attachment 3004697
😂Acha ubishi brother. Huyo ni Bibi mmoja huko kwetu, tunamuita Bi Suguna. Alikuwa mchawi konkodi, kafa jana, leo natumiwa video na brother kuwa kagoma kuzikika
Lugha ya hapo haieleweki ni ya nchi gani... Hao jamaa ilibidi waliweke kwenye Meza nimeiona hapo tuone kama lingeendelea kufanya hivyoSasa kuhangaika kote huko na handbrake kama zote
Kwanini wasilitupe chini na kulivuta kwa kamba?
Ndio maana umasikini hauishi
Hiyo clip kila nchi watasema imetokea kijiji chao
We unasikia lugha gani hapo
YaaniLugha ya hapo haieleweki ni ya nchi gani... Hao jamaa ilibidi waliweke kwenye Meza nimeiona hapo tuone kama lingeendelea kufanya hivyo
Kabisa mkuuYaani
Watu waongo sana
Hapo utakuta mchungaji feki
Anatafuta mileage
Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo karibu na nyumba yake. Cha ajabu hata kuingia ndani imegoma. Imevunja nyumba. Inafurahisha sana
View attachment 3004697
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa kuhangaika kote huko na handbrake kama zote
Kwanini wasilitupe chini na kulivuta kwa kamba?
Jeneza lilikubali kuwekeka chini mida ya saa 12, bila hivyo ilitakiwa mtu akupokee ndio liache kukung'ang'ania. Bila hivyo, utazunguka nalo hadi uchokeYanaweza kuwa maigizo kabisa, si wamuweke chini
fanya hivi kafungue biashara sokoni uje na ubishi wakoKwa iyo na ww ndo ushaamini ayo maigizo apo?
MpandaMkuu kuwa serious. Wapi hio?
Hawekeki chini mkuu, yaani hapo ulitakiwa utafute mtu umsakazie afanye kama anakupiga tafu, kisha ukimbie, umuachie msala aendelee kuhangaika naloYanaweza kuwa maigizo kabisa, si wamuweke chini