Huyu mama Mongella atakuwa kazeeka sana , Tangu lini RC akawa na bajeti ya kujenga barabara ?
Bashite huwa hana shukrani na hakumbuki alipotoka na waliomtoaMnamsikiliza huyo mropojaji, alikuwa anabrashi viatu baadaye akaanza kuwaita wauza madawa ya kulevya familia nzima
Dah haya madaraka haya tutatoana roho
Unaweza kuchakachua vyeti vya Paulo Makonda vikawa vya Daudi Bashite, ila huwezi kuchakachua akili ya Makonda ikaingia kwa Bashite.Mh Halima Mdee alishapeleka maombi ya kujengwa kwa barabara hiyo bungeni , katika vikao vilivyoongozwa na Naibu Spika Tulia Ackson.
UKIWA MUONGO JITAHIDI USIWE MSAHAULIFU
Jionee mwenyewe
Dada halima kuna umuhimu gani wa kutumia matusi?
Tumia huu muda kuwaaga wana Kawe miaka 15 bungeni inatosha
Kama unamuabudu Bashite wewe jihesabu ni dead man walking.Bandiko la kijinga sana hili
Shime Makonda, komesha sisimizi hawa.
Huna unalojua wewe nyumbuBabo hujaacha kuvutia Bangi ghetto kwa cyprian Musiba?
Karibu tule kuku Huku MagogoniSasa sijui umetetea nn
Au na wewe uonekane umecoment
Kawe siyo chamwino , ambako mtu kama Lusinde aweza kuchaguliwa mbungeHiyo unajua wewe na nyumbu wenzio hapa jf lakini huko site kwa wapiga kura tayari Mdee anaonekana ziro
joined 25 /10/2019Karibu tule kuku Huku Magogoni
Aiseee1 na wewe kuna mwanamke anamshukuru Mungu kupata mwanaume kama wewe? some times muwe seriouse na mambo ya nchi hii...Kuna wanawake wana misalaba kweli kweli eti nawe wa kiume??????????Dada halima kuna umuhimu gani wa kutumia matusi?
Tumia huu muda kuwaaga wana Kawe miaka 15 bungeni inatosha
Kawe siyo chamwino , ambako mtu kama Lusinde aweza kuchaguliwa mbunge
Mtakoma nyie wapumbavu, huku "Sisimizi" wakipeta. Usichojua we mpuuzi ni kwamba huyo mwenzako mlango ukigonga kwa upepo huwa anakaribia kufa kwa kihoro!!!Bandiko la kijinga sana hili
Shime Makonda, komesha sisimizi hawa.
Tafuta chai unywe kamanda..hahahahMtakoma nyie wapumbavu, huku "Sisimizi" wakipeta. Usichojua we mpuuzi ni kwamba huyo mwenzako mlango ukigonga kwa upepo huwa anakaribia kufa kwa kihoro!!!
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho walikuwepo Wenye Roho mbaya kuliko Bashite leo hii wapo wapi? Malliyamungu msaidizi wa marehemu Iddy Amin dada enzi zile za kishetani alikuwa akifanya kama haya anayofanya Daud Bashite sasa.
Hahaha maneno ya mkosaji hayo, kwani wewe hauna mwisho?
Machozi yananitoka, BASHITE utaacha lini uongi? wewe si umejipambanua kuwa umeokoka?Mh Halima Mdee alishapeleka maombi ya kujengwa kwa barabara hiyo bungeni , katika vikao vilivyoongozwa na Naibu Spika Tulia Ackson.
UKIWA MUONGO JITAHIDI USIWE MSAHAULIFU
Jionee mwenyewe
BASHITE ni mwongo kuliko hata SIRRO aliyesema ABDUL NONDO KAJITEKA akiwa anaenda kwa mchepuko wake huko iringaHuna akili wewe nyumbu