Video: Malasusa aelezea sababu ya kutofungua Jeneza la Lowassa

Video: Malasusa aelezea sababu ya kutofungua Jeneza la Lowassa

Namuunga mkono askofu 100%.
Huu uamuzi binafsi niliuchukuq wiki kadhaa zimepita kwenye msiba wa mtu wangu wa karibu na kuufanya ndio utaratibu wangu mpya.

Namuaga mtu akiwa mgonjwa, akifa simuagi mara ya mwisho maana mtu akifa anakuwa udongo sio mtu tena.

Hii ni baada ya kuzembea kumuona jamaa yangu afaka siku hiyohiyo niliyohairisha kumuona hospital.

Kwa hili naungana na waislam na wayahudi.
Wayahudi wakiwa njiani kwenda Kuzika walikutana na Yesu naye akaona ni kijana amefariki akamfufua.
 
"Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama tukiwa hai na sio kusubili binadamu aliyelala," Askofu Malasusa

View attachment 2903914
Kwangu Mimi ni sawa tu. Kwani watu wakimuona inaongeza nini kwa marehemu?
 
Huyu Malasusa ni mwanasiasa, hana tofauti yoyote na wale CCM waliogoma kulitaja jina la Chadema kwenye shughuli ya kuaga mwili wa marehemu.

Juzi tu ametoka kupewa pongezi nyingi na Samia wakati wa kusimikwa kwake, leo anafanya mambo kama yale yaliyofanywa na CCM na viongozi wake, ameligeuza KKKT kuwa kama mali yake binafsi.

- Yeye ni nani kuwazuia waombolezaji wengine waliotaka kuaga mwili wa Lowassa hapo kanisani, kwa kukosa nafasi ya kufanya hivyo Karimjee?

Kwangu Malasusa hana sifa zozote za kuitwa Askofu, ni complete puppet wa watawala, dikteta asiyejali wengine wanachotaka zaidi ya kuamua binafsi anavyotaka, yupo hapo kimkakati.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Namuunga mkono askofu 100%.
Huu uamuzi binafsi niliuchukuq wiki kadhaa zimepita kwenye msiba wa mtu wangu wa karibu na kuufanya ndio utaratibu wangu mpya.

Namuaga mtu akiwa mgonjwa, akifa simuagi mara ya mwisho maana mtu akifa anakuwa udongo sio mtu tena.

Hii ni baada ya kuzembea kumuona jamaa yangu afaka siku hiyohiyo niliyohairisha kumuona hospital.

Kwa hili naungana na waislam na wayahudi.
Huu utaratibu wa kuzunguka jeneza likiwa na mwili ndani ni mila za kizungu za kipagani zikaridhiwa na kanisa katoliki ni ibada ya wafu ambayo ni kosa .
Unazungukwa mwili, Mara uinamiwe kwa heshima au upigiwe magoti Kama humphrey pole pole .
Ule ni Mwili hakuna roho baada ya muda utaharibika hata ukihifadhiwa Kama kina farao.
 
Ukosefu wa maarifa sahihi ya neno la Mungu
 
Back
Top Bottom