Video: Malasusa aelezea sababu ya kutofungua Jeneza la Lowassa

Video: Malasusa aelezea sababu ya kutofungua Jeneza la Lowassa

"Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama tukiwa hai na sio kusubili binadamu aliyelala," Askofu Malasusa

View attachment 2903914

Huyu naye amekua mwanasiasa kama tiara anaenda na upepo

Sababu ya kutoonyesha mwili ni Binafsi ya familia ( Lakini katika hali ya kawaida nani anataka mwili wa ndugu yake aliyelala kitandani miaka miwili ionekane tu ; atakua kabadilika sana na sio yule mnayemjua) familia imechagua watu wabaki na taswira njema ya Lowassa aliyejaaaa tabasamu na sio kubakia na ya Lowassa aliyedhoofu kwa maumivu na kuugua
; Hilo halihitaji maelezo angesema tu familia ime omba privacy simple
 
Sasa kama haufungui jeneza mnaaga nn sasa? Kwahio walizunguka tu jeneza?
 
Back
Top Bottom