Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papa John Paul wa Pili mwenyewe aliagwa kwa watu kumtazama, Nyerere hata Magufuli. Malasusa aseme tu kuwa huo ni utashi wa kifamilia, ila kutafuta sababu za kidini hapana. Kawaida kuna open na closed casket service. Ni utashi wa familia kuchagua aina ya utaratibu wa kuaga (ama kwa nchi za wenzetu marehemu wengine husema kabisa kabla hajafariki atapenda iweje wazi ama afunikwe)"Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama tukiwa hai na sio kusubili binadamu aliyelala," Askofu Malasusa
View attachment 2903914
Safi, njoo huku kwetu Mkuu! Taqbir....Ni kweli sioni mantiki ya kuaga marehemu, kwa suala la mazishi nawapongeza waislamu, mtu akishakufa siku ya mazishi hakuna kupoteza muda kama sisi wakristo.
Kama ndivyo si wazike tu?????"Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama tukiwa hai na sio kusubili binadamu aliyelala," Askofu Malasusa
View attachment 2903914
Utamaduni wa kushudia umekuja hivi karibuni baada ya kugundulika kwa majeneza na watu wa motuary wakawa wanachanganya maiti, watu walikuwa wanazika wapendwa wasio wao.Kwamba ni sawa kuaga pasi kuhakikisha unaaga nini!!
Mchango misa.Mambo mengi ni mindset tu
Kuaga mara ya mwisho sielewagi hata maana yake nn maana hata kabla ya kufariki unakuta mlishaonana kwa mara ya mwisho
Ni kibinadamu tu kabla ya kuja kwa jeneza kuaga hakukuwepo.Je biblia imetuagiza kuufunua na kuuaga mwili wa marehemu? Au ni mafundisho ya kibinaadamu?
"Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama tukiwa hai na sio kusubili binadamu aliyelala," Askofu Malasusa
View attachment 2903914
ni liturugia ya kkktAnaleta siasa kwenye mazishi!
Yeye ndo ameamua iwe hivyo au familia? Next rime akiongoza ibada ya mazishi halafu waage kwa kutazama mwili tunampopoa mawe.
tiss haikwepeki kikubwa ishi maisha yako hata mkeo tu anaweza kuwa tiss na usijue au mwanaoKipindi KKKT ilicho pigwa ni kipindi hiki cha kuongozwa na Mwalasusa.
Tiss imeingizwa kanisani.
kkkt ni utaratibu huwa hatungui jeneza ni liturugia ya kanisaMwili Umeharibika. Malasusa alipaswa tuu kusema ukweli. Marehemu wangapi wameangaliwa?
Kwa nini huo utaratibu ulivyoanza tu haukuzuiliwa? Kama jambo hilo alilolisema ni la kibiblia, mbona hatusaidii mistari?! Halafu anavyoongea ni kama familia ndio walioamua jeneza lisifuguliwe, kama wangefungua, je angeruhusu?Analeta siasa kwenye mazishi!
Nikiangalia makanisa makubwa haya na viongozi wakubwa sioni Mungu katika wao, naona kibinadamu zaidi kuliko kimungu!
Dio kila kitu lazima kiwe kimeandikwa popote. Hii ni hoja ya kipumbavu.Leo ndo wanajua , wawaelimishe waunini wao mambo ya kuuaga mwili ni ya kishamba na hayapo popote
Kwa wale ambao hawajaonana nae kwa mara ya mwisho, mfano, wewe uko Kenya, ndugu yako akafariki na ukaja kumzika, hamjaonana muda hata miaka 2 ama 3, nafasi ya kuonana nae mara ya mwisho hukuipata, hapo una maoni gani mkuu.Mambo mengi ni mindset tu
Kuaga mara ya mwisho sielewagi hata maana yake nn maana hata kabla ya kufariki unakuta mlishaonana kwa mara ya mwisho