Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

Urongo huu so far Israel wamepiga bomu linalosemekana kuwa ni la phosphorus ambalo lina effect kwenye anga hewa na huwa na madhara makubwa kwa binadamu
 
Urongo huu so far Israel wamepiga bomu linalosemekana kuwa ni la phosphorus ambalo lina effect kwenye anga hewa na huwa na madhara makubwa kwa binadamu
Tangu sikubnne zikizopita walikua wakiimba hako kawimbo ka Phosphorus hadi kame expire, au wewe ndiyo umekapata?
 
Hao 250 ni waliokuwa ndani ya Israeli miji ya mipakani na Gaza.

100 ni wale waliovushwa kwenda Gaza kwenye kambi za Hamas.
Kwahiyo kumbe mpaka sasa bado kuna waisrael walio mateka ndani ya nchi yao
 
Ukisikia waisraeli wamekufa 100 punguza hapo sifuri na ukisikia wapalestina wamekufa 100 ongeza hapo sifuri
Uwo ndio ukweli
 
Du!Hamas waliidanganya dunia wanamateka 120,sijui walikuwa wanamaana gani!
 

Hii habari uchwara yako uliiona hata huko times of Israel?
 
Nawalete habari IDF inavyofyatua na kugaragaza kila kinachopumua...
sawa ila ule ujinga wa kutuletea mambo za sijui IDF ndo jeshi au makomando bora duniani ufe...wangeenda wanangu wa 511 kutoka gongo la mboto wangekomboa hawa mateka ndani ya wiki tu...
 
Habari yako uchwara hii:

"Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa"

Ulikuwa unaota au bangi za kuvutia chooni?

Israel wamfyatua kila chenye pumzi na wanaendelea.
Myahudi ni mtu muhimu sana kuliko mazombi yenu ambayo kazi kuvaa mikanzu tu

 
Nyuzi zisizokuwa na ukweli hizi kwanini Mods mnaruhusu JF kugeuzwa kuwa kijiwe cha vijana wa hovyo?

Mpaka mtaita maji ma, namba zinaelekea kugonga 20,000
kazi kuvaa mikanzu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…