Mi niko south tz sijawai ona MTU na hayo madude toka nazaliwA....nmeangalia hiyo video sidhan ka ntaweza kula Leo aaaaghhhhhSouthern Tanzania. Watz walio humu hawaelewi nchi yao. Kibondo IPO kigoma ama wapi?
😂😂😂😂😂mbongo asusie mlo? Labda kuwe na mtetemeko wa ardhi usiowahi kutokea tangu mwanzo wa dunia.Mi niko south tz sijawai ona MTU na hayo madude toka nazaliwA....nmeangalia hiyo video sidhan ka ntaweza kula Leo aaaaghhhhh
Wewe unazijua longolongo za wabongo ama unazisikiaga tu? https://www.ippmedia.com/en/features/jiggers-wreak-havoc-mbeya-rural-communities Soma habari hizi hapa kutoka kwa wanahabari wa kitanzania, kuhusu funza ambao waliwafanya wanakijiji wa Itete, Wilaya ya Rungwe maeneo ya Ml. Rungwe kule MBEYA, nadhani ni nchini Kenya, wahame kutoka kwa vijiji vyao kwasababu ya imani yao kwamba funza ni uchawi.As if they don't exist in your country. Jamani huu unafiki mtauacha lini?
Nimezunguka Tz nzima sijawahi ona ufukara wa namna hii, hayo mafunza mnatolewa hapo hutokana na makazi Duni sana,Wewe unazijua longolongo za wabongo ama unazisikiaga tu? https://www.ippmedia.com/en/features/jiggers-wreak-havoc-mbeya-rural-communities Soma habari hizi hapa kutoka kwa wanahabari wa kitanzania, kuhusu funza ambao waliwafanya wanakijiji wa Itete, Wilaya ya Rungwe maeneo ya Ml. Rungwe kule MBEYA, nadhani ni nchini Kenya, wahame kutoka kwa vijiji vyao kwasababu ya imani yao kwamba funza ni uchawi.
Hahaha sio milioni Mbili kakaImagine 2m kenyans ni Victims wa hilo tatizo. Duh
Nilitaka kucheka ila hapana nimejitahidi kujizuia lakini nimeshindwa yani hahahah najitahid kufumba mdomo lakini bado hahahahVikunya ni vikaragosi vya watu weupe walahi
Waliomba watangaze kuwa ni Janga la TaifaNi mafukara sana hawa wakenya, yaani funza karne hii?
Unakuta wanasema Tz ni LDC ,halafu huko vijijini kwao ndio kupo hivi. ?
Do you even listen to yourself? How about those in Western Tanzania? I have learnt that your media is always controlled .They can't expose some matters that would put your country to shame.
Ndio maana hizo habari nilizokuekea hapo za wanakijiji wakihama kutoka kwa kijiji chao, kule Kijiji cha Itete, maeneo ya Ml. Rungwe, Wilaya ya Rungwe, Mbeya kwasababu ya funza, nimekuambia mapema kwamba ni za Kenya na sio Tanzania. Alafu hao wakenya wamenishangaza sana, wanasema walivamiwa na funza kwasababu ya uchawi.Nimezunguka Tz nzima sijawahi ona ufukara wa namna hii, hayo mafunza mnatolewa hapo hutokana na makazi Duni sana,
Yaani mnaishi kwenye mavumbi..