Video: Matibabu ya Funza Kenya, wakenya milioni Mbili wanasumbuliwa na Funza

Video: Matibabu ya Funza Kenya, wakenya milioni Mbili wanasumbuliwa na Funza

As if they don't exist in your country. Jamani huu unafiki mtauacha lini?
Wewe unazijua longolongo za wabongo ama unazisikiaga tu? https://www.ippmedia.com/en/features/jiggers-wreak-havoc-mbeya-rural-communities Soma habari hizi hapa kutoka kwa wanahabari wa kitanzania, kuhusu funza ambao waliwafanya wanakijiji wa Itete, Wilaya ya Rungwe maeneo ya Ml. Rungwe kule MBEYA, nadhani ni nchini Kenya, wahame kutoka kwa vijiji vyao kwasababu ya imani yao kwamba funza ni uchawi.
 
Hii kali
imenikumbusha mwakajuzi
MOTOCHINI alileta mada kama hii
eti watu milioni mbili wanafunza Kenya
Ktk Umli wangu sijaona mdudu funza
 
Hii kali
imenikumbusha mwakajuzi
MOTOCHINI alileta mada kama hii
eti watu milioni mbili wanafunza Kenya
Ktk Umli wangu sijaona mdudu funza
Ni mafukara sana hawa wakenya, yaani funza karne hii?
Unakuta wanasema Tz ni LDC ,halafu huko vijijini kwao ndio kupo hivi. ?
 
Wewe unazijua longolongo za wabongo ama unazisikiaga tu? https://www.ippmedia.com/en/features/jiggers-wreak-havoc-mbeya-rural-communities Soma habari hizi hapa kutoka kwa wanahabari wa kitanzania, kuhusu funza ambao waliwafanya wanakijiji wa Itete, Wilaya ya Rungwe maeneo ya Ml. Rungwe kule MBEYA, nadhani ni nchini Kenya, wahame kutoka kwa vijiji vyao kwasababu ya imani yao kwamba funza ni uchawi.
Nimezunguka Tz nzima sijawahi ona ufukara wa namna hii, hayo mafunza mnatolewa hapo hutokana na makazi Duni sana,
Yaani mnaishi kwenye mavumbi..
 
Funza hukaa sehemu yenye uozo (iliyo oza) sasa sijajua majirani wamekumbwa na nini

Anyway poleni ndugu zetu
 
Imagine 2m kenyans ni Victims wa hilo tatizo. Duh
Hahaha sio milioni Mbili kaka
Milioni Tano
IMG-20181027-WA0001.jpeg
 
Vikunya ni vikaragosi vya watu weupe walahi
Nilitaka kucheka ila hapana nimejitahidi kujizuia lakini nimeshindwa yani hahahah najitahid kufumba mdomo lakini bado hahahah
 
You mean kigoma, kagera and katavi and rukwa. Google.
Do you even listen to yourself? How about those in Western Tanzania? I have learnt that your media is always controlled .They can't expose some matters that would put your country to shame.
 
Natafuta hao watu million moja mbna siwaoni...hhhh!!!endelea kutafuta news za kenya na ku post...ukwel bado utabaki pale pale km mnapumulia mashine
 
Waleteni hao watu million tano pia...nawasubiria...kila county na idadi yake...hatutaki porojo
 
Nimezunguka Tz nzima sijawahi ona ufukara wa namna hii, hayo mafunza mnatolewa hapo hutokana na makazi Duni sana,
Yaani mnaishi kwenye mavumbi..
Ndio maana hizo habari nilizokuekea hapo za wanakijiji wakihama kutoka kwa kijiji chao, kule Kijiji cha Itete, maeneo ya Ml. Rungwe, Wilaya ya Rungwe, Mbeya kwasababu ya funza, nimekuambia mapema kwamba ni za Kenya na sio Tanzania. Alafu hao wakenya wamenishangaza sana, wanasema walivamiwa na funza kwasababu ya uchawi.
 
Na hawa member wa kikenya humu ndani ni waathirika wa jigers.

Nina uhakika 100%
 
Back
Top Bottom