🤣🤣🤣🤣🤣 we jamaa hazikutoshi kabisaMsimamo wa CCM na Serikali yake ni huu hapaView attachment 2895262View attachment 2895264
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa hazikutoshi kabisa
Anatafuta kikiMwenyekiti wa zamani wa Nccr Mageuzi Mhe. James Mbatia, akiwa anafanya mahojiano na Edwin Odemba ameitaka Serikali iweke bayana msimamo wake kuhusu suala la ushoga na usagaji.
Mbatia amesema,
"Napinga Ushoga kwa nguvu zangu zote, Mungu alituleta hapa Duniani tuzaliane na kuijaza Dunia, Serikali ieleze bayana msimamo wake kuhusu suala la Ushoga & Usagaji, kwani kila siku serikali yetu inapiga magoti kwa mataifa yanayounga mkono ushoga kuomba mikopo”
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2895173
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Mbatia kwa wewe unayeamini uwepo wa mungu, kuna wasio amini uwepo wa mungu ukisema alituleta tuzaliane hawatakuelewa kama wewe ambavyo huwaelewi kupenda ushoga! Ongea kama philospher, siyo ka Kinana!Mwenyekiti wa zamani wa Nccr Mageuzi Mhe. James Mbatia, akiwa anafanya mahojiano na Edwin Odemba ameitaka Serikali iweke bayana msimamo wake kuhusu suala la ushoga na usagaji.
Mbatia amesema,
"Napinga Ushoga kwa nguvu zangu zote, Mungu alituleta hapa Duniani tuzaliane na kuijaza Dunia, Serikali ieleze bayana msimamo wake kuhusu suala la Ushoga & Usagaji, kwani kila siku serikali yetu inapiga magoti kwa mataifa yanayounga mkono ushoga kuomba mikopo”
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2895173
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Huyu Meku kwake ndio la muhimu hilo?
Huyu Meku kwake ndio la muhimu hilo?
Mbatia kakomalia Ushoga
Lipumba kakomalia lishe
Rungwe kakomalia Ubwabwa
Hamad Rashid,Mamose Cheyo na vyama 13 visivyo na wabunge Wala madiwani ---wakekomalia Chadema
Nchi ya
Hii Wagagagigikoko inamaana gani tafadhali kuna mzee wa bagamoyo anapenda sana kusema hili neno
Sawa mkuu,
Hii kali!Msimamo wa CCM na Serikali yake ni huu hapaView attachment 2895262View attachment 2895264
Mwenezi atasaidia kujibu hiloMwenyekiti wa zamani wa Nccr Mageuzi Mhe. James Mbatia, akiwa anafanya mahojiano na Edwin Odemba ameitaka Serikali iweke bayana msimamo wake kuhusu suala la ushoga na usagaji.
Mbatia amesema,
"Napinga Ushoga kwa nguvu zangu zote, Mungu alituleta hapa Duniani tuzaliane na kuijaza Dunia, Serikali ieleze bayana msimamo wake kuhusu suala la Ushoga & Usagaji, kwani kila siku serikali yetu inapiga magoti kwa mataifa yanayounga mkono ushoga kuomba mikopo”
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2895173
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Ulichosahau ni Chadema wamekomalia ruzuku. Wacha ubaguzi.Huyu Meku kwake ndio la muhimu hilo?
Mbatia kakomalia Ushoga
Lipumba kakomalia lishe
Rungwe kakomalia Ubwabwa
Hamad Rashid,Mamose Cheyo na vyama 13 visivyo na wabunge Wala madiwani ---wakekomalia Chadema
Nchi ya Wagagagigikoko
CCM wamekomalia wizi wa kuraUlichosahau ni Chadema wamekomalia ruzuku. Wacha ubaguzi.