fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
huyu mbona alipokuwa udsm alishirikiMwenyekiti wa zamani wa Nccr Mageuzi Mhe. James Mbatia, akiwa anafanya mahojiano na Edwin Odemba ameitaka Serikali iweke bayana msimamo wake kuhusu suala la ushoga na usagaji.
Mbatia amesema,
"Napinga Ushoga kwa nguvu zangu zote, Mungu alituleta hapa Duniani tuzaliane na kuijaza Dunia, Serikali ieleze bayana msimamo wake kuhusu suala la Ushoga & Usagaji, kwani kila siku serikali yetu inapiga magoti kwa mataifa yanayounga mkono ushoga kuomba mikopo”
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2895173
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 [emoji3578]
Sent using Jamii Forums mobile app