Video: Mbatia aitaka serikali iweke wazi msimamo wake kuhusu Ushoga

huyu mbona alipokuwa udsm alishiriki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Meku kwake ndio la muhimu hilo?
Mbatia kakomalia Ushoga
Lipumba kakomalia lishe
Rungwe kakomalia Ubwabwa
Hamad Rashid,Mamose Cheyo na vyama 13 visivyo na wabunge Wala madiwani ---wakekomalia Chadema
Nchi ya Wagagagigikoko
Wanatumika na CCM
 
Ila huyu mwana ni pandikizi aliyegeuzwa TP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HILI JAMBO NI OVYU, SI LA KULITETA, KABISA, WAKATI MWINGINE KULIZUNGUMZIA KILA WAKATI HULETA ISHARA YA KULIPENDA SWALA HILI.
 
Haya mambo sijui kwa nini yanakuwa hivi kwani hao mashoga wakifanya hayo mambo yao faragha huko wala tusingekuwa na haya malumbano kuhusu ushoga.
Wanata waachwe eti wachezee mavi Kama watoto wanaojinyea… sijui haya mambo ni kwa nini ni makubwa sana kwenye mijadara huku Afrika kuliko ulaya na marekani…?
 
Wanata waachwe eti wachezee mavi Kama watoto wanaojinyea… sijui haya mambo ni kwa nini ni makubwa sana kwenye mijadara huku Afrika kuliko ulaya na marekani…?
Unaweza kusema afrika hakukuwa na mashoga ndio maana tunaona haya malumbano sasa hivi, wao wafanye tu huko kwa faragha hakuna hata atakaye jua wala kuwafutilia.
 
Yako mambo mengi.. ya kuzungumza mbali na hili swala la ushoga!
 
Mbatia nikusahihishe kidogo Mungu hajaumba Mwanamke na Mwanaume pekee kaumba na Majikedume Hermaphrodites.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…