Video: Mbowe na Makonda wakiteta msibani kwa Lowassa

Video: Mbowe na Makonda wakiteta msibani kwa Lowassa

Mboweee sijui Lisuu amd the likes, ni wachumia tumbo wote walee kama akina Slaaa..

Ni vile watanzania wameamua kujiambia uongo kwakua hawana tumain la ukombozi but deep down they know Mbowe na Genge lake la chadema ni vibaraka tubwa ccm wasio na jema lolote kwa watanzania. Pale wako kibiashara tu. Angalau kiduchu Mnyika ndio maana hapend kujichanganya. The motive yake is real.
CHADEMA na CCM vyote viko Tanzania na wanaouvitumia ni Watanzania wenyewe kwa hakuna jinsi yoyote ya kuwatenganisha,kitu kikubwa kwao ni Utanzania kwanza kwenye mambo ya msingi.
 
Body language ya bashite ni kama alikuwa anaongea na boss wake. Akili haikuwa kwenye utulivu na mkono alioweka mfukoni ali-fake baada ya kijisikia inferior mbele ya ustaadh Aboubakar Mbowe aliyekuwa anatembea huku attention yake ilikuwa ni alikokuwa anaelekea wakati bashite attention yake ilikuwa kwa Mbowe.
 
Body language ya bashite ni kama alikuwa anaongea na boss wake. Akili haikuwa kwenye utulivu na mkono alioweka mfukoni ni la ku-fake baada ya kijisikia inferior mbele ya ustaadh Aboubakar Mbowe aliyekuwa anatembea huku attention yake ilikuwa ni alikokuwa anaelekea wakati bashite attention yake ilikuwa kwa Mbowe.
Mbowe hakutaka tu kumwaibisha kwa kuw Mbowe ni mstaarabu.

Lakini kila kitu kiko wazi
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekutana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda msibani kwa Hayati Edward Lowasa.

View attachment 2906552

📹 AyoTv
✍️ Mjanja M1
1. Body language - ambaye ni desperate 'to touch base' hapo ni Makonda. Immediately baada ya third person kumkaribia Bashite, FM akasepa kwa speed, mbali na alojipachika hapo. Sintoshangaa kama Bashite tayari ni 'mkoma' ! kaaeni naye mbali.
2. Mdomo uliokosa breki wa Bashite unasikika ukitamka maneno kadhaa hapo mojawapo likiwa ....' aache siasa zake'... . Kuna mtu alikua anasengenywa hapo kwa namna ya , moaning.

Sijavuta bange!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Lisu: Kwa Umaarufu akitoka Nyerere anafuatia Lowassa halafu Shujaa Magufuli
Daaah vyama vya Upinzani Bongo ni vyama saidizi vya Chama tawala

CCM wameukuza na kuupaisha Msiba ili kuziba nyufa za Chama Chao na wao Chadema wamekuwa kimbele mbele kwny 'kuchanganya cement ' ya ukuta usiowahusu
 
Daaah vyama vya Upinzani Bongo ni vyama saidizi vya Chama tawala

CCM wameukuza na kuupaisha Msiba ili kuziba nyufa za Chama Chao na wao Chadema wamekuwa kimbele mbele kwny 'kuchanganya cement ' ya ukuta usiowahusu
Kwani inazikwa CCM au Lowasa? Haujui siasa wewe, wewe ni sawa na jiwe aliyejua siasa ni visasi na kuuana.
 
Kwani inazikwa CCM au Lowasa? Haujui siasa wewe, wewe ni sawa na jiwe aliyejua siasa ni visasi na kuuana.
Nyie mnajua Siasa mlitaka Rais akabidhi Nchi kwa Rafiki yake kwa kuwa tu walikubaliane wagawane Nchi kama wanagawana kipande cha Chungwa

mnalaumu Jakaya kumsaliti Lowassa kumpa fursa ya kugombea Urais ndani ya CCM wakati huo mmemsaliti Slaa kwa kumtosa na kumpa fursa mliekuwa mnasema ni Mhalifu Mkuu wa Nchi
 
Siasa mchezo mtamu sana, inaweza kupigwa picha, tactical picture, mkatafsiri kwa kwenda mbali sana, lakini pengine hapo suala ni, "Sikujua kama monduli pameendelea namna hii"
 
Siku zote siasa ni kama mchezo, unajua ukiwa wapi useme na kufanya nini, na ukiwa wapi pengine ufanye na kusema kitu gani.

Bahati mbaya huku JF wengi huichukulia siasa kama kazi rasmi, matokeo yake ni kuwa serious muda wote, matusi, hasira, mtakuja kufa kwa pressure bure.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Umenena kweli. !!
 
Back
Top Bottom