Video: Mbowe na Makonda wakiteta msibani kwa Lowassa

Video: Mbowe na Makonda wakiteta msibani kwa Lowassa

Wote ni ndugu moja, tofauti za kiitikadi haziwezi kuondoa utanzania wetu
Sio kweli.

Wanawahadaa watanzania kwa mizuka na midadi ya kisiasa kumbe nyuma ya pazia wanaripoti kwa BOSI MMOJA.

Huu sio utanzania, huu ni ukanjanja wa kisiasa.

Kwa zile mbwembwe zao za majukwaani na matusi lukuki nilitarajia kuona DJ mbowe na bashite wanatandikana makonde ya haja.
 
Siasa mchezo mtamu sana, inaweza kupigwa picha, tactical picture, mkatafsiri kwa kwenda mbali sana, lakini pengine hapo suala ni, "Sikujua kama monduli pameendelea namna hii"
Na ndivyo ilivyokuwa !
Accidentally or arranged by one side !
Na cameramen wapo standby for the special unexpected events !!
Akili ni nywele kila mtu ana zake ! 🙏🙏😅😅
 
Wanasiasa kama mabondia ,wacheza mpira wote wanatafuta kula wala hwafanyi jambo kwa uadui sasa we endelea kusambaza chuki ,utakuja kushangaa leo mtu katoka CCM kaenda CHADEMA halafu kapokelewa kwa shangwe.
 
Back
Top Bottom