huo ndio ungwana katika jamii ilostaarabika 🐒Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekutana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda msibani kwa Hayati Edward Lowasa.
View attachment 2906552
📹 AyoTv
✍️ Mjanja M1
CHADEMA na CCM vyote viko Tanzania na wanaouvitumia ni Watanzania wenyewe kwa hakuna jinsi yoyote ya kuwatenganisha,kitu kikubwa kwao ni Utanzania kwanza kwenye mambo ya msingi.Mboweee sijui Lisuu amd the likes, ni wachumia tumbo wote walee kama akina Slaaa..
Ni vile watanzania wameamua kujiambia uongo kwakua hawana tumain la ukombozi but deep down they know Mbowe na Genge lake la chadema ni vibaraka tubwa ccm wasio na jema lolote kwa watanzania. Pale wako kibiashara tu. Angalau kiduchu Mnyika ndio maana hapend kujichanganya. The motive yake is real.
Siasa duniani siyo uadui bali ni haki na wajibu kedekede kwa wahusika.Wapo wengi hao bwashee...huwa nawatazama tu wanavyojitesa.
Sisi tumekalia kutukanana huku wakati wenzetu wanapeana namba kwa mambo yao.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwani kabla ya hili tukio walikuwa hawateti? Au mimi ndio sijaelewa lengo la huu uzi.Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekutana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda msibani kwa Hayati Edward Lowasa.
View attachment 2906552
📹 AyoTv
✍️ Mjanja M1
Ndicho kilitokea ona pale mwisho Mbowe aliendelea na safari yake baada ya Makonda kusimamishwa na mtu mwingine.Makonda anakawaida ya kujipendekeza pendekeza ili aonekane mtu.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu hicho......acheni roho mbaya mlitaka wagombane? Siasa za nyani hizo mnazotakaHuku mashabiki wao wakitaka kutoana ngeu mitandaoni
Mbowe hakutaka tu kumwaibisha kwa kuw Mbowe ni mstaarabu.Body language ya bashite ni kama alikuwa anaongea na boss wake. Akili haikuwa kwenye utulivu na mkono alioweka mfukoni ni la ku-fake baada ya kijisikia inferior mbele ya ustaadh Aboubakar Mbowe aliyekuwa anatembea huku attention yake ilikuwa ni alikokuwa anaelekea wakati bashite attention yake ilikuwa kwa Mbowe.
1. Body language - ambaye ni desperate 'to touch base' hapo ni Makonda. Immediately baada ya third person kumkaribia Bashite, FM akasepa kwa speed, mbali na alojipachika hapo. Sintoshangaa kama Bashite tayari ni 'mkoma' ! kaaeni naye mbali.Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekutana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda msibani kwa Hayati Edward Lowasa.
View attachment 2906552
📹 AyoTv
✍️ Mjanja M1
Ndio stori za kuwapigia watanzania hizo. Utapeli mtupu..hakuna jema lolote kwa watanzaniaCHADEMA na CCM vyote viko Tanzania na wanaouvitumia ni Watanzania wenyewe kwa hakuna jinsi yoyote ya kuwatenganisha,kitu kikubwa kwao ni Utanzania kwanza kwenye mambo ya msingi.
Daaah vyama vya Upinzani Bongo ni vyama saidizi vya Chama tawala[emoji23][emoji23][emoji23]
Lisu: Kwa Umaarufu akitoka Nyerere anafuatia Lowassa halafu Shujaa Magufuli
Na wewe ni mmoja wao,shwainHUku kwenye mitandao kima ndio wanauana!
Nje ya siasa wote ni binaadamu.Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekutana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda msibani kwa Hayati Edward Lowasa.
View attachment 2906717
✍️ Mjanja M1
Kwani inazikwa CCM au Lowasa? Haujui siasa wewe, wewe ni sawa na jiwe aliyejua siasa ni visasi na kuuana.Daaah vyama vya Upinzani Bongo ni vyama saidizi vya Chama tawala
CCM wameukuza na kuupaisha Msiba ili kuziba nyufa za Chama Chao na wao Chadema wamekuwa kimbele mbele kwny 'kuchanganya cement ' ya ukuta usiowahusu
Nyie mnajua Siasa mlitaka Rais akabidhi Nchi kwa Rafiki yake kwa kuwa tu walikubaliane wagawane Nchi kama wanagawana kipande cha ChungwaKwani inazikwa CCM au Lowasa? Haujui siasa wewe, wewe ni sawa na jiwe aliyejua siasa ni visasi na kuuana.
Umenena kweli. !!Siku zote siasa ni kama mchezo, unajua ukiwa wapi useme na kufanya nini, na ukiwa wapi pengine ufanye na kusema kitu gani.
Bahati mbaya huku JF wengi huichukulia siasa kama kazi rasmi, matokeo yake ni kuwa serious muda wote, matusi, hasira, mtakuja kufa kwa pressure bure.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app