Siasa mchezo mtamu sana, inaweza kupigwa picha, tactical picture, mkatafsiri kwa kwenda mbali sana, lakini pengine hapo suala ni, "Sikujua kama monduli pameendelea namna hii"
Na ndivyo ilivyokuwa !
Accidentally or arranged by one side !
Na cameramen wapo standby for the special unexpected events !!
Akili ni nywele kila mtu ana zake ! πππ π
Wanasiasa kama mabondia ,wacheza mpira wote wanatafuta kula wala hwafanyi jambo kwa uadui sasa we endelea kusambaza chuki ,utakuja kushangaa leo mtu katoka CCM kaenda CHADEMA halafu kapokelewa kwa shangwe.