Binafsi nimemuona mjinga tu na hastahili kuwakiisha wananchi boya kama huyoBado alikuwa na njia ya kutolowa na kujipaka matope
Njia aliyokuwa anataka kutumia inaitwa "Publicity" ili aonekane ni Mchapa Kazi na anafanya Kazi
Kitu Ambacho sio kweli na amejiharibia kwa kupata negative feedback
Wamepewa daraja zuri na imara, na kupunguziwa vifo vya ajali mto Kilombero bado hajaridhika??. Mahenge-Ulanga mpaka hapo wamependelewa sana. Anajidhalilisha bure kujilowesha matope.
Hizi wilaya tajiri kwa raslimali usipimeAnaleta utani huko miaka na miaka kuko hivyo.
Kuna Mahenge/Ulanga
Wamelala kabisaaa usingizi.
Bila kusahau carbon dioxide emission through rear hole.Kwa huo mwili Oestrogen inaproduziwa kwa wingi sana
hahahaha kaka tulia kwanzaSijaelewa hapa, Unaweza kufafanuz zaidi Ndugu Determinantor
Oestrogen kwa mwanaume wapi na wapi mweshimiwa?Wewe ulielewa vp? Tuanzie kwako
Siyo amechafuka kama mtoto, ukweli ana akili za kitoto, siku zote alikuwa wapi aache upumbavu hayo maigizo ya kijinga kabisaWakuu,
Hivi nyie wenzangu mnawaelewa hawa CCM?
Huyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki?
Hii ni video ambayo amepost katika Instagram yake. Anasema kwamba hapo gari yake ilikuwa imenasa katika tope, kitongojini Kalihanya, Baada ya hekaheka za kujinasua, hali ndio ikawa hivi.
Ni aibu Mbunge kulialia mtandaoni kwamba barabara ni mbovu meanwhile ulikuwa bungeni miaka 5 kazi yako ilikuwa ni ku-advocate barabara zitengenezwe.
CCM punguzeni kutia tia huruma kwa wananchi. Tengenezeni barabara
He is rubbishHii ni video ambayo amepost katika Instagram yake. Anasema kwamba hapo gari yake ilikuwa imenasa katika tope, kitongojini Kalihanya, Baada ya hekaheka za kujinasua, hali ndio ikawa hivi.
Wananchi wameamka!! Hakuna mwehu kama huyo atarudi bungeniSi ajabu akarudi tena bungeni maanina
Ndugu wananchi wa hii nchi siyo watu wa kuwaaminiWananchi wameamka!! Hakuna mwehu kama huyo atarudi bungeni
Akapimwe akili kama hawa ndiyo viongozi basi nchi hii haitakuja badilikaWakuu,