Pre GE2025 Video: Mbunge wa Malinyi Morogoro achafuka kama mtoto baada ya kutembea kwenye matope akishangaa kwanini jimbo lake lina miundombinu mibovu

Pre GE2025 Video: Mbunge wa Malinyi Morogoro achafuka kama mtoto baada ya kutembea kwenye matope akishangaa kwanini jimbo lake lina miundombinu mibovu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bado alikuwa na njia ya kutolowa na kujipaka matope

Njia aliyokuwa anataka kutumia inaitwa "Publicity" ili aonekane ni Mchapa Kazi na anafanya Kazi

Kitu Ambacho sio kweli na amejiharibia kwa kupata negative feedback
Binafsi nimemuona mjinga tu na hastahili kuwakiisha wananchi boya kama huyo
 
Fala mmoja tu anaitwa nani huyu mpuuzi?
Wamepewa daraja zuri na imara, na kupunguziwa vifo vya ajali mto Kilombero bado hajaridhika??. Mahenge-Ulanga mpaka hapo wamependelewa sana. Anajidhalilisha bure kujilowesha matope.
 
Ndio raha ya kuongoza jimbo usilo lijua.
KAZI ni kipimo cha utu
 
1000027987.jpg
 
Huyu alipaswa achapwe fimbo nyingi na wananchi na walichukue na gar lake halafu wamkimbize mithili ya mtu alieiba mtt wa chui asikanyage tena kuhusu ubunge hata udiwan eneo ilo
 
Ugali kuupata shughuli sanaaa baba lijitu zimaaa limejipiga tope mpaka puani ugali tuuheshimu sana wakuu
 
Wakuu,

Hivi nyie wenzangu mnawaelewa hawa CCM?

Huyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki?

Hii ni video ambayo amepost katika Instagram yake. Anasema kwamba hapo gari yake ilikuwa imenasa katika tope, kitongojini Kalihanya, Baada ya hekaheka za kujinasua, hali ndio ikawa hivi.

Ni aibu Mbunge kulialia mtandaoni kwamba barabara ni mbovu meanwhile ulikuwa bungeni miaka 5 kazi yako ilikuwa ni ku-advocate barabara zitengenezwe.

CCM punguzeni kutia tia huruma kwa wananchi. Tengenezeni barabara

Siyo amechafuka kama mtoto, ukweli ana akili za kitoto, siku zote alikuwa wapi aache upumbavu hayo maigizo ya kijinga kabisa
 
Hii ni video ambayo amepost katika Instagram yake. Anasema kwamba hapo gari yake ilikuwa imenasa katika tope, kitongojini Kalihanya, Baada ya hekaheka za kujinasua, hali ndio ikawa hivi.
He is rubbish
 
A
Wakuu,

Hivi nyie wenzangu mnawaelewa hawa CCM?

Huyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki?

Hii ni video ambayo amepost katika Instagram yake. Anasema kwamba hapo gari yake ilikuwa imenasa katika tope, kitongojini Kalihanya, Baada ya hekaheka za kujinasua, hali ndio ikawa hivi.

Ni aibu Mbunge kulialia mtandaoni kwamba barabara ni mbovu meanwhile ulikuwa bungeni miaka 5 kazi yako ilikuwa ni ku-advocate barabara zitengenezwe.

CCM punguzeni kutia tia huruma kwa wananchi. Tengenezeni barabara

Akapimwe akili kama hawa ndiyo viongozi basi nchi hii haitakuja badilika
 
Back
Top Bottom