super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,057
- 825
Kiongozi umepotea, Maandiko yako hayapo tena kulikoni???Siasa siasani.......ugumu mtaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi umepotea, Maandiko yako hayapo tena kulikoni???Siasa siasani.......ugumu mtaani
Morogoro wananchi wameshikiwa akili na ccm hovyoooWakuu,
Hivi nyie wenzangu mnawaelewa hawa CCM?
Huyu Mbunge wa Malinyi anamlalamikia nani kwamba Jimbo lake lina miundombinu mibovu kiasi hiki?
Hii ni video ambayo amepost katika Instagram yake. Anasema kwamba hapo gari yake ilikuwa imenasa katika tope, kitongojini Kalihanya, Baada ya hekaheka za kujinasua, hali ndio ikawa hivi.
Ni aibu Mbunge kulialia mtandaoni kwamba barabara ni mbovu meanwhile ulikuwa bungeni miaka 5 kazi yako ilikuwa ni ku-advocate barabara zitengenezwe.
CCM punguzeni kutia tia huruma kwa wananchi. Tengenezeni barabara