Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Kuna umuhimu wa kuwa na silaha hawa watu wa ccm siyo wazuri kabisa. Wanapanga kuua mbunge hadharani kabisa na watu wanapiga makofi?
 
Mwingine huyu anayestahili kwenda ICC The Hague kwenye Mahakama ya Kimataifa kwa ukatili na kutishia haki ya kuishi dhidi ya raia wenye haki ya kikatiba na kiDemokrasia kutoa mawazo yao kama watu-huru.
 
Kwani alipouawa Dkt Mvungi upinzani uliisha? Kuua haiwezi kuwa njia sahihi bali maridhiano ya kiutawala. Ni vipofu wafikiriao Kuua
 
naona anatafuta fursa ya uteuzi 2021 kama ccm itarudi tena madarakani baada ya uchaguzi mwaka huu.
hahaaa! kijana ana maono ya baadae ndo anayahangaikia kipindi hiki
 
Ile maktaba kamwe haiwezi kukosa video hii na ile ya yule wa Bungeni.

Haya sio mambo ya kupuuza hata kidogo.

Hawa siku yao ipo na inakuja haraka sana.

Nitasikitika sana kama 'video' hizi hazitawekwa mahali salama.
Tayari zimehifadhiwa
 
Hata woga, aibu hakuna!! Matishio yote hayo pamoja na vikwazo yenyewe hawaoni??

Majitu kama haya yalipaswa kupekwa milembe tu huku uraiani hapafai kwa maisha yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile maktaba kamwe haiwezi kukosa video hii na ile ya yule wa Bungeni.

Haya sio mambo ya kupuuza hata kidogo.

Hawa siku yao ipo na inakuja haraka sana.

Nitasikitika sana kama 'video' hizi hazitawekwa mahali salama.
Inatakiwa zifanyiwe translation na kuhifadhiwa ni muhimu sana
 
Kuna mtu mmoja yupo Dodoma,na yupo karibu na familia ya Bulembo,amenidokeza kuwa chuki ya Bulembo kwa ZZK ni kutokana na ZZK kutafuna kuku na mayai yake. Yaani kuna "wake" wawili wa Bulembo + mtoto wake wametafunwa na ZZK,sasa ndio kaona hapo ndipo pa kutolea hasiram

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliowapa nchi walinde Amani yake sasa wamelewa.
Kila mmoja anafikiria kumwaga damu hata pale ambapo hoja za kisiasa zinajibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kumtawala mtu ktk dunia mkoseshe elimu na umtie njaa hao jamaa hawana elimu ya kujenga hoja na kaziyao ni matusi na kutaka kuua tu iliwakalipwe buku saba kisha wakatafute kula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom