FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Alichosema yule mbunge ilikuwa ni mfananisho tu na wasaliti wa vita ya Uganda, ila hakumtaja specifically Zitto kwamba ndio auwawe, imechukuliwa out of context.
Mambo kama haya ndio unakuta wale wabaya wake wanaonyang'anyana wanawake ndio wanachukua fursa ya kumalizana halafu zigo lote unabebeshwa serikali kwamba ndio imehusika, tutumie busara kabla ya kujump to conclusions, wale wote wanaonyang'anyana nae wanawake (kama wapo) waanze kupigwa jicho la karibu.