Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Alichosema yule mbunge ilikuwa ni mfananisho tu na wasaliti wa vita ya Uganda, ila hakumtaja specifically Zitto kwamba ndio auwawe, imechukuliwa out of context.

Mambo kama haya ndio unakuta wale wabaya wake wanaonyang'anyana wanawake ndio wanachukua fursa ya kumalizana halafu zigo lote unabebeshwa serikali kwamba ndio imehusika, tutumie busara kabla ya kujump to conclusions, wale wote wanaonyang'anyana nae wanawake (kama wapo) waanze kupigwa jicho la karibu.
 
FRANCIS DA DON,
Abdul Nondo mlisema alijiteka kwa kujificha kwa girlfriend wake. Ikashindikana kuthibitika.
- mtu anadhuliwa hadharani kabisa, na jitihada za kubainisha ukweli zinazuiwa hadi kuwakamata wanao mwombea mshambuliwaji!!! .....
 
Na mimi nimeona siamini.Sema na yeye binadamu anyway tuyaache
Si nia yangu kumtetea mimi nadhani hiyo ni tatizo la mirroring effect yaani matendo mtu hufanya tendo kwa kuiga matendo ya mwingine mfano uko msibani na watu wanainamisha vichwa chini kuonyesha hali ya majonzi ingawa si wote wana majonzi.

Na tabia hii ukiichungua wabunge wengi wa sisisemu wanayo na ndiyo maana hujikuta wakati mwingine wanapinga walichokiiunga mkono awali au kukiunga mkono walichokipinga awali
 
Si nia yangu kumtetea mimi nadhani hiyo ni tatizo la mirroring effect yaani matendo mtu hufanya tendo kwa kuiga matendo ya mwingine mfano uko msibani na watu wanainamisha vichwa chini kuonyesha hali ya majonzi ingawa si wote wana majonzi.na tabia hii ukiichungua wabunge wengi wa sisisemu wanayo na ndiyo maana hujikuta wakati mwingine wanapinga walichokiiunga mkono awali au kukiunga mkono walichokipinga awali
Kwa maana halisi unasema ni "Ma'ROBOT'"!
 
Huku wakihubiri wananchi waheshim na kuilinda amani ya nchi ni wao wenyewe wanaikanyaga kwa dharau na majivuno kabisa. Ni muombe Mungu tusifikie point of no return.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abdul Nondo mlisema alijiteka kwa kujificha kwa girlfriend wake. Ikashindikana kuthibitika.
- mtu anadhuliwa hadharani kabisa, na jitihada za kubainisha ukweli zinazuiwa hadi kuwakamata wanao mwombea mshambuliwaji!!! .....
elewa nilichosema, ni kwamba maelezo ya yule mbunge yamechukuliwa out of context
 
Tatizo ni matambiko ya Nyerere yamewapumbaza wananchi.
Wananchi wasiorogwa kwa matambiko suala kama hili sasa wangekuwa washalichukulia maamuzi kitambo
 
Back
Top Bottom