Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Kimama kama hicho hats ile dua ya kuliombea binge naona huyu mama atakuwa anaona ni bunge la kuombea dua.

Kuna mbunge alivyokuwa anaomba kura kwenye mkutano Wa kampeni akachanganyikiwa akauliza wapiga kura dalili za mawingu? Kamtu kamoja kakajibu mvua kura zilivyopigwa alipata kura 2 tu.
 
Hii ni aibu kubwa kwa nchi yetu pendwa, wabunge wanashangilia mtu auwawe kweli? MaCCM hamnazo, kwa nini wasijibu hoja kwa hoja?

Andika barua WB kutengua hoja ya Zito, kumwaga damu ya mtu itasaidia nini? Wamemkosakosa Lissu bado hawaoni aibu na hamasa ilitoka bungeni hapo!

USA Pompeo piga ban wote wanao shabikia kuuwa watu wasio na hatia period!!
 
Huyo mama alipewa Pesa na msaada na mabasi na mabeberu ajenge shule ziwasaidie bure wasiojiweza wapate elimu yeye anatoza Ada kubwa kibiashara

Kanisa lake ilo kajenga kwa vyuma vya wizi katoa morogoro kiwandani alikuwa kapewa aanzishe shule kumbe alikuwa anatoa kimoja kimoja analeta dar
 
madhara ya kuchanganya siasa na dini ndio haya sasa atajibu kwa waumini wa kikristo ni haki kuhalalisha mauaji
 
Kanisa lake ilo kajenga kwa vyuma vya wizi katoa morogoro kiwandani alikuwa kapewa aanzishe shule kumbe alikuwa anatoa kimoja kimoja analeta dar
Alipewa mabus bure yatumiwe na wanafunzi bure anatoza
 
madhara ya kuchanganya siasa na dini ndio haya sasa atajibu kwa waumini wa kikristo ni haki kuhalalisha mauaji
Kotekote anataka kavaa nguo ya kijani kulinda nyumba yake aliyojenga baharini isivunjwe ukiwa ccm unasamehewa zambi zako
 
nzagambadume,
Huyu obvious atakuwa ameongea akiwa upande wa Zitto, ila tulio wengi hatuwezi kuliona hilo. Ukitaka walio wengi wasijue rafiki zako ni wapi, jifanye kuwa adui wa rafiki zako! Ndiyo principal iliyotumika hapa!
 
Aksante kwa kuliona hili, una akili kubwa, wabunge wengi wanamdhiaki Magu na serikali yake bila yeye kujua
 
Akina bulembo wanatumika kuonyesha ulimwengu kuwa ccm ni ya wauaji, alafu magu na makonda wanakenua kudhani wanaungwa mkono.

Katibu mkuu wao naye boya tu,
 
Hao hao, siku ya kuaga maiti yake bungeni, vilio na kwikwi vitatawala.
 
Back
Top Bottom